Jenerali Ulimwengu apinga kutumia siku 100 kumtathimini Rais



Alaa, kumbe unajitambua kwamba wewe ni kichaa??!!, mimi sikujua hivyo!!. Mao Tsetung hakuwa kichaa kama wewe Mao Zedong feki, unatakiwa ujipe jina linaliendana na sifa, heshima na akili za mwenye jina lake.

Umeisha elewa kwamba mimi nilikuwa najua kuwa hizo siku 100 za tathimini za viongozi hazikuanzia Tz kwa Mama Samia kitu ambacho ulinishupalia kama mshipa wa Hernia.

Na siku zingine Ukome kimbelembele cha kujibu mada kabla hujaisoma kwa kina.

انت مجنون
 
Ielezee hapa hiyo real management power iliyokosekana kwangu. Hili nalo ni jukwaa la kutoa maoni kama ilivyo redio.
Mkuu kilicho ndani ya nafsi ya mtu anachoweza kukisema ni muhusika na si mtu mwingine.
☝🏾
Siwezi kueleza ulicho nacho akilini mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…