Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu


Kuliko kukaa kimya na kujifanya hayakutokea, bora kusema ili watu wajifunze na kuhakikisha huo ujinga haujirudii tena. Ndio maana ya historia.
 
Una akili kubwa sana 👏
 
Fact
 
Kuhusu COVID bado Magufuli ni shujaa,,

Niambie Leo kuna inchi gani bado wanaweka watu wao lock down?
Au caranteen.
Au bado wanavaa barakoa?
Magufuli alisema huu ugonjwa ni wa kupuuza,
Na sasa dunia imeupuuza ugonjwa wa COVID.

Kuhusu kusemwa vibaya Magufuli,
Hivi Magufuli hakuwa na mazuri?
Sijaona yeyote msafii akamsema vibaya Magufuli.

Wengi wanaomsema vibaya ni wale watu waliopokonywa maslahi yao kwa njia moja au nyingine.
Mfano kigogo,,
mange kimambi ,
vyeti feki,
wezi wa Mali ya umma,
Walevi wa madaraka waliotumbuliwa nk.

Kama kweli ni wazalendo wa kweli waongee mabaya ya waliohai.
Sio kuendelea kupambana na marehemu...

Sent from my M2101K7BG using JamiiForums mobile app
 
Kwenye hili gazeti lako,kitu cha maana ni kuwaaminisha Watzn kwamba Katiba ndio muarobaini.

Pili hili la scholarships na exposure ni muhimu sana kuepusha viongozi mazuzu kama bwana yule..

Japo umeponda sana ila scholarships huwa zipo Sana tuu sema Watzn ni wazito Sana kuchangamkia fursa za nje.
 
USISUMBUKE NA HUYO MHUTU MLEVI WA POMBE NA MVUTA UGOLO,HUYO MZEE ANAHASIRA,ALIWAHI KUPEWA MADARAKA MAKUBWA TU NDANI YA CCM,AKANYANGHANYWA,HANA LOLOTE,
 
kwahiyo sasa hivi akili zimefunguka na mambo yanaenda vizuri? hii nchi bila mapinduzi ya kivita hawa wazee watatuchezea mpaka nyeti zetu.
Dawa ni vita tu, maana maisha yenyewe haya mafupi.
 
Viongozi wote wa dini huko madhabahuni mwao wakipata nafasi humsema shetani, na wafuasi wao huwa hawachoki shetani kusemwa. Generali ashikilie hapohapo kumsema shetani wala sisi wapenda haki hatuchoki.
Kwahiyo mkimshamsema mwisho wa siku mnapata nini na mtu ameshajifia na hasikii chochote. Hamjioni kwamba nyinyi ndo mazuzu sasa mnapigana na ukuta.
 
Mbona walikufa wengi na wanasemwa - Nyerere, Karume, Nkuruma, Hitler, Idd Amin, Mandela...? Sembuse huyo dikteta uchwara? Alijiandikia hadithi yake mwenyewe kwa matendo yake.
Kwahiyo mkimshamsema mwisho wa siku mnapata nini na mtu ameshajifia na hasikii chochote. Hamjioni kwamba nyinyi ndo mazuzu sasa mnapigana na ukuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…