Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

AMEN
 
Kweli Tangu Magu aende Paradiso sasa hivi tunalamba asali Miradi kila Kona , vitu vimeshuka bei ,misamaha ya kodi, kushusha kodi ,hakuna kitu amefanya magu ila Ulimwengu amelifanyia hili taifa makubwa mfano alivyohutubia mkutano wa UN wazungu walimshangilia sana,alivyokuwa mkuu wa wilaya na kukosoa wenzake hayo ni mambo makubwa sana aliyofanya ulimwengu Taifa linakukumbuka na tulikuwa mazuzu kweli ila yeye katutoa uzuzu .
 
Kwahiyo mkimshamsema mwisho wa siku mnapata nini na mtu ameshajifia na hasikii chochote. Hamjioni kwamba nyinyi ndo mazuzu sasa mnapigana na ukuta.

Tunaweka rekodi sawa. Hutaki jinyonge. Mnapomsifia inasaidia nini au atafufuka?
 
Katiba haiwezi kujitetea yenyewe, mtu akiamua anaivuruga kadri atakavyo ili mradi mazuzu tupo kimya
 
Achana na huyo mjinga atakupotezea muda Hao wanalipwa alafu Hana dini
 
Msikilizeni Jenerali anazungumza mambo kwa uwazi sana,haonei aibu mtu. Anasema jiwe alitupulizia hewa ya uzuzu tukawa mazuzu wote. Ingekuwa awamu ya 5 huyu mngemkuta kwenye kiroba pembeni ya bahari
 
kwahiyo sasa hivi akili zimefunguka na mambo yanaenda vizuri? hii nchi bila mapinduzi ya kivita hawa wazee watatuchezea mpaka nyeti zetu.
Dawa ni vita tu, maana maisha yenyewe haya mafupi.
Kweli aisee maisha yanazidi kuwa magumu linatokea jitu linaongea upuuzi utazani lenyewe kuna jambo la maana limefanya Tz hakuna mkamlifu isipokuwa Mungu tu
 
Hivi siku ya hukumu Mungu anakwambia utoe ushahidi wa hiyo tuhuma kwamba sisi watanzania tulimuabudu Mwendazake je, utaweza kutoa ushahidi mbele za Mungu?

Kufamfananisha mwendazake na yesu ni sawa na kusema magu ni Mungu ukizingatia doctrine of holy trinity- baba ,mwana na roho mtakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…