Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Muulize kilimtokea nini mwaka 2001. Kujiita Mtanzanja ni kujibaraguza.Ooh, kumbe ni raia wa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muulize kilimtokea nini mwaka 2001. Kujiita Mtanzanja ni kujibaraguza.Ooh, kumbe ni raia wa wapi?
Zuzu mbona povu jingi kama umefakamia omo?Mazuzu ni yeye na ugoro wake
USSR
Sio ugoro tu peke ake,yule mzee pia ni mlevi kupindukia,Mazuzu ni yeye na ugoro wake
USSR
Generali ulimwengu ni mtu hatari aliejawa na roho mbaya kupindukia. Aende kwao Rwanda akajaribu kufanya haya anayoyafanya hapa asikilizie muziki wake. Anadhani yeye anafahamu kila kitu na chochote anachotaka yeye kifuatwe. Hiyo ndiyo demokrasia?
Wewe ndio mazuzu yenyewe anayoyaongelea UlimwenguHuyu mzee mpumbabu sana
Hapana Marais wote kasoro Mwendazake walitawala vizuri sana, kosa kuwauwa wanaompinga, wapinzani na upinzani wenyewe.Mtazamo wangu:
Shida ipo kwenye katiba na sio mtu. Pale Ikulu hata aende malaika kwa katiba tuliyo nayo, bado atatoka na pembe kama zote.
Na wenye nchi washaliona hilo, wakikubali kubadilisha katiba, ndipo tutakapo toboa.
Ni hivi, katiba ya Tanzania inataka pesa zote za miradi zipite Bungeni ila kuna mtu(sijui kwasasa kwasababu sifuatilii habari nyingi kuhusu Mama Tanzania) uko nyuma alikuwa akifanya miradi mikubwa na pesa za hizo miradi hazijadiliwi Bungeni na Bunge kama muhimili huru halijawai kuhoji.. Hali hiyo bado unalaumu katiba na si watu?.Hiyo haitakuwa katiba bali kitabu cha rejea!
Kuna mamilioni ya watu walikuwa wanaamini hizi kauli.miradi yote hii mnayoiona ndugu zangu tunaitekeleza kwa pesa za ndani
Hao ndio mazuzu wenyewe anaowaongelea generalKuna mamilioni ya watu walikuwa wanaamini hizi kauli.
Ndiyo! Kwa sababu Mbunge wa CCM akikosoa chama chake au akipiga kura kupiga maamuzi ya serikali anaweza kuvuliwa uanachama na hivyo kupoteza ubunge. Sasa hakuna mtu wa ku-risk nafasi yake ya ubunge kwa hilo na hasa ukizingatia wabunge wengi ni wachumia tumbo!Ni hivi, katiba ya Tanzania inataka pesa zote za miradi zipite Bungeni ila kuna mtu(sijui kwasasa kwasababu sifuatilii habari nyingi kuhusu Mama Tanzania) uko nyuma alikuwa akifanya miradi mikubwa na pesa za hizo miradi hazijadiliwi Bungeni na Bunge kama muhimili huru halijawai kuhoji.. Hali hiyo bado unalaumu katiba na si watu?.
POLE
dalili ya uzuzu Ni kuukataa uzuzu ili hali kila mtu anakuona wewe no zuzuzMazuzu ni yeye na ugoro wake
USSR
Huyu naye kwakupenda "kiki" ni Mako's voice...Mtu kafa bado mnamsimanga...Huyu kweli anaweza asiwe raia wa Tanzania maana hajawahi kuisemea mema taifa hili...Kila leo ni negative tu...Ina maana dhambi zote za taifa hili kabeba JPM? Kwanza laana itawakumba watanzania wasipokuwa makini, mtu kafia kwenye ofisi akilitumikia taifa lake, badala ya kumuenzi ndiyo kwanza kila leo mnamsimanga...Na ninyi mtakufa na makaburi yenu yatapigwa viboko na wajukuu zangu...Mmekaa kweny hili taifa tangu uhuru zaidi ya kutuletea hizi confusion za kugombania madaraka what else have you done?Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu.
Geberali apewe ulinzi
Tazama Video
"Mubhunge waa hapwa yukho wapwi"??Au nasema uongo ndugu zangu? Mbunge wa hapa yuko wapi?
Wewe labda umeelewa... kuna wengine inabidi waambiwe. Tuungane na Jenerali kusema ukweli!Huyu mzee sasa tumemchoka. Yaani yeye ni story zile zile kila siku. Yaliyopita si ndwele, tunataka kusikia mambo mapya. Na kama huna jipya mzee wetu, bora ukae kimya. Maana tunategemea wewe ukae kimya bin tuli, halafu vijana tunakuja kupata ushauri. Muda wa kupata air time kwako umepita. Tulia ulee wajukuu mzee.
Huyu nae katuchosha na neno "zuzu". Yaani kila akiipata maiki hawezi kumaliza kuongea hadi amseme Magufuli, sijui alimto..bea mke....??!!