PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,667
Reaction score
21,296
Pia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!
IMG-20250415-WA0001.jpg
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Unapitia wakati mgumu, sana gentleman, kulazimisha kuwaaminisha raia wenye akili timamu kuwa nguruwe anaweza kuwa miss kinondoni, kisa tu amepakwa lipstick, pole gentleman, ndiyo ujira wa kusimama upande wa uovu.
 
Back
Top Bottom