Wewe utakuwa mgeni hapa nchini. HumjuwiGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Wewe utakuwa mgeni hapa nchini. HumjuwiGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Akili kubwa kuielewa ukiwa chawa ni ngumu sana. Chawa mwisho wake ni mavazi ya mhusika aliyembeba.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Kwamba angesema Nguruwe wa Kizimkazi amepaka lipstick!😂🤓🤠
Uhuru wa tume uko wapi?uhuru wako binafsi na hako kazee karopokaji mkaufanyie kwenye familia zenu, huku mkila na huyo nguruwe mwenye lipstick gentleman,
but,
Uhuru wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni uhuru wa waTanzania wote kwa ujumla, kwa mujibu wa katiba 🐒
Aje aseme na kama ni kweli hatujawahi kuwa na mbulu mjinga hivi anayesimama upande wa dhuluma wakati mageuzi na haki vilianzia mbulu kipindi cha nyerere kwa akina chief sarwattTlaatlaah madai haya ni ya kweli au unapakaziwa bure.