Wajinga ndio waliwao tafuta maana yake kwenye lugha mama ya sheria yaani LATIN.Ndio mtagundua mmeliwa.
Hata huyo Padre Silaa anajua fika Chadema ya Lissu ipo crossroad kwa msamiati mfu.
Lakini njaa ya kujitakia inamuubua.
Jibu sahihi mfaete Askofu Kilaini mtaalamu wa lugha na sheria kilaitini ndio mtajua mmeuzwa kama watumwa,Amsterdam anadai Tanzania trillioni dollar 15 iwapo Lissu atachukuwa nchi.Ni kuchuma,kula bila kunawa for next 200 years.
Unadhani AMSTERDAM anamfadhili mtu mweusi,sub lawyer,Lissu kwa kuipenda Tanzania?