Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,441
- 8,408
Kwanini hamtaki kuambiwa ukweli ndugu? Usikasirike. Najua ukweli huwa unauma. Uungwana ni kukubali kukosolewa, kukiri mapungufu na kuwa tayari kujirekebisha.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cš