secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Mkuu mi sipo, unanipakazia bure.Hahaha 😁😂, unaweza kukuta mavuzi ndo yanaanza kumwota.
Hebu tumkague kwanza kabla ya kumshambulia kwa maneno.
Mkuu mi sipo, unanipakazia bure.Hahaha 😁😂, unaweza kukuta mavuzi ndo yanaanza kumwota.
Hebu tumkague kwanza kabla ya kumshambulia kwa maneno.
tlaatlaah majina ya wambulu haoJamaa kila siku napata tabu kutamka jina lake aiseeee 🙌🙌🙌🙌
Mkuu mi sipo, unanipakazia bureMkiambiwa ukweli mnasema midomo michafu....mnapenda kusifia na kusifiwa tu...shame on youuu
Hakuzidi wewe unayeharisha…!!Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Kwamba angesema Nguruwe wa Kizimkazi amepaka lipstick!😂🤓🤠It’s one nguruwe to know
Yeye pia ni nguruwe
Sio kwamba yeye Ana somo chafu peke yake…. There are plenty of filthy nguruwe like him
He could have chosen better words
mzee kawa tandika na super sonic meanza kupoteana waheedmbona weo sana gentleman,
kama umefurahia uropokaji wa hicho kizee si ujieleze kwa kurelax tu gentleman bila mihemko wala makasiriko 🐒
Nguruwe Ni Mfano wa Tume ya Uchaguzi usiokuwa na UhuruIt’s one nguruwe to know
Yeye pia ni nguruwe
Sio kwamba yeye Ana somo chafu peke yake…. There are plenty of filthy nguruwe like him
He could have chosen better words
Sindano imeingia mna wa fool watu kila miaka mitano sasahivi watu wamegoma kuwa fooled.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Tlaatlaah madai haya ni ya kweli au unapakaziwa bure.tlaatlaah majina ya wambulu hao
Don't panic stay cool. TUME HII YA CCM INA uhuru gani mkuu?
Chadema imegeuka nyama ya simba.Yaani mnamwomba msaada pale penye maslahi kwenu akina pangu pakavu tia mchuzi.Pia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
siyo tu constructive mzee katoa construction kabisa safiMzee hajawahi kutoa constructive idea zaidi ya kukandya tu
Wewe uliishia form gani?Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Yuko sahii sanaPia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
TakhbiiiiiirrrrPia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
humu ndani kunayule jamaa aliyepata oda dubai kupeleka kiti motoNguruwe Ni Mfano wa Tume ya Uchaguzi usiokuwa na Uhuru
Lipstick Ni mfano wa neno HURU
kumaanisha Tume ya Uchaguzi ni ile ile Neno Huru ndio Lilioongezekaa.... kumaanisha Nguruwe kapakwa Lipstick
What tha Heck!!! whats wrong apo?? Kuongea Ukweli au kusema neno Nguruwe maana kama ni islam hataki kusikia neno nguruwe mbona kipindi cha mfungo biashara ya kitimoto inadorora??
No reform no electionChadema imegeuka nyama ya simba.Yaani mnamtumia au mnamwomba msaada pale penye maslahi kwenu akina pangu pakavu tia mchuzi.
Your doomed.
Huko nyuma hamjamuona kama Ulimwengu mmoja ni sawa sawa na Lissu elfu tano?
Siasa kumbe hamjui mmegeuka vifaduro na viselela,viwavi jeshi kula bila kunawa. Si mlimuona boya wakati mlijiona mna mechanical advantage hewa?
Mnataka awa bail out from your political blunders makings?
Eti kwa kuwa kifo cha chama chenu kipo in progress.
For your information he can not save you.Its too late.
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Kusema ukweli ni kuropoka?Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒