M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
si tu karopokaji bali pia kapotoshaji hako kazee gentleman š
si tu karopokaji bali pia kapotoshaji hako kazee gentleman š
Tume Ina uhuru au udhuru...pyuuuuuhuru wako binafsi na hako kazee karopokaji mkaufanyie kwenye familia zenu, huku mkila na huyo nguruwe mwenye lipstick gentleman,
but,
Uhuru wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni uhuru wa waTanzania wote kwa ujumla, kwa mujibu wa katiba š
Anaongea ya moyoni,wewe ndio huyataki kuyasikia, Mbona Yuko vizuri tuu gentle man!Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cš
Mzee hajawahi kutoa constructive idea zaidi ya kukandya tuPia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
Tume ya uchafuziTume Ina uhuru au udhuru...pyuuuu
Mkiambiwa ukweli mnasema midomo michafu....mnapenda kusifia na kusifiwa tu...shame on youuuNdo hivyo mkuu. Wanachochea sana.
we ni maskini ambae sio jeuri wewe ni maskini chawa wa Ccm wanakutumia kupiga umbea na mashati ya bure..Kura yako hata hawanashida nayo unatumiwa unatupwa kama Malaya Huo ndio ukweli nawale wakuu pale ccm ndo mabasha wenu..huenda hako kazee ndio kanalipwa kutokana na uropokaji wake š
Wanapenda kujizima data tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo, kwasasa uchawaMkiambiwa ukweli mnasema midomo michafu....mnapenda kusifia na kusifiwa tu...shame on youuu
Nae ni Mtanzania,ana hoja asikilizwe,uzee sio Hoja,hata ,Wassira analijua Hilo!badala kalee wajukuu nyumbani kanakuja kumbwelambwela mitandaoni kwa uropokaji,
hii ndio aina ya vizee vinavyopitaga na wajukuu zao kwasabb vinahisi na vyenyewe ni vitoto š
alfu mimi ndo maskini jeuri ambae simuogopi CCM na ubasha wao Na sipigi kura hata ya kuzuga Afu uniambie kati yangu mimi na wewe nani Ni mwanaume ambae hata akifa Mtot wake atasema baba aliwadindia Serekal YA ccm wewe ukifaa baba alikuwa chawa na malaya wa ccm ambayo imejenga Deni kubwa la Taifa ambalo Halitakaa Lilipwe hadi Mjukuu wa Mtoto wako anakufa.......huenda hako kazee ndio kanalipwa kutokana na uropokaji wake š
Eti huyo mzee si wazalendo, lakini wazee wa Chukua CHako Mapema ndiyo wazalendoNae ni Mtanzania,ana hoja asikilizwe,uzee sio Hoja,hata ,Wassira analijua Hilo!
Kweli mkuuEti huyo mzee si wazalendo, lakini wazee wa Chukua CHako Mapema ndiyo wazalendo
Freedom is coming tomorrowKweli mkuu
Kamfumgulieni kesi ya uhainiGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cš
Unamjua Ulimwengu wewe tulia kimya acha kutukana watu kisa uchawa usio na akili.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cš
Mkuu,Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cš
Ukweli ni kuwa Dr. Mpango ameona ni heri ajitenge na hawa mashetani!Jenerali Ulimwengu haogopi kutekwa na kunyang'anywa uhai na magenge ya chura kiziwi!? Hongera Dr. Mpango kwa kukataa unafiki wa kushirikiana na waliolowa damu za watu mikononi mwao licha ya cheo kikubwa.
Vijana wenyewe Sasa mtihani,kama tlaahtlaah na mwashambwa!Freedom is coming tomorrow
Uhuru wa mifumo kandamizi unakuja kesho
Mwl Nyerere alihimiza vijana kuasi mifumo kandamizi