secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Ndo hivyo mkuu. Wanachochea sana.haka kazee kawe kakwanza, halafu mzee slaa na mpiga vizinga mkuu mzee lwaitama wafuate mara moja maana vina midomo chafu na havina maadili kabisa 🐒
Ndo hivyo mkuu. Wanachochea sana.haka kazee kawe kakwanza, halafu mzee slaa na mpiga vizinga mkuu mzee lwaitama wafuate mara moja maana vina midomo chafu na havina maadili kabisa 🐒
mbuzi hana mkia bana ispokua kondoo,😂😂😂😂😂 Unajua faida ya mkia wa mbuzi..?
Nimewasikiliza yeye na mwenzake nimekuja kuona ni vijinga na vyenyewe ndo viropokajiAkili yako ndogo ndiyo maana huelewi kitu kinachoitwa, 'lugha ya picha'
we ni demu au Msela kila nikisoma Comment zako nasema inaezekana ukawa ni shangazi ake samia hassanmbuzi hana mkia bana ispokua kondoo,
napendekeza alichonacho mbuzi kule nyuma kisiitwe mkia, litafutwe jina lingine 🐒
Hivyo vitoto ndo viropokaji kana kwamba babu zao ndo wanapambana na wajukuu mtaani kwao wanahísi kila mzee yuko kama baba yaoUlimwengu haropoki hata kidogo. Ni mtu anayejitambua ambaye ni mkweli na aliyenyoka, ILA wewe kichwani hakupo sawasawa. Shughulikia tatizo lako la kichwani, utakuwa na uwezo wa kuelewa wanachoongea watu wenye akili timamu kama Jenerali Ulimwengu.
soma bila mihemko wala makasiriko gentleman, itakusaiadia sana aise kuongeza uelewa na ufahamu wako dhidi ya mambo haya muhimu sana jukwaani 🐒we ni demu au Msela kila nikisoma Comment zako nasema inaezekana ukawa ni shangazi ake samia hassan
Unaona umekosa hoja, mbona hako kazee kabibi hukaoni?sasa kazee kama hako gentleman ni kwamba kanakukoshaaaa graduate, right?🤣
andika uzi mahususi bila kuhamisha magoli kisayansi gentleman 🐒Unaona umekosa hoja, mbona hako kazee kabibi hukaoni?
we ni mshamba unajifanya unaelimu lakini nikisoma unachoandika nahisi Hivi hujawahi kwenda form5 na 6 ulifel form4 ukaenda cheti umejitaidi cheti ume pass tuu Umeishia diploma 1 kama sio 2... kuita watu Gentleman its whack... mnajiita Gentleman wengi wenuu haujui maana Yakua Gentleman..soma bila mihemko wala makasiriko gentleman, itakusaiadia sana aise kuongeza uelewa na ufahamu wako dhidi ya mambo haya muhimu sana jukwaani 🐒
Sawa sawa mkuu...mbuzi hana mkia bana ispokua kondoo,
sidhani kamkia kadogo kama kale kanaweza kua na faida gentleman,
napendekeza alichonacho mbuzi kule nyuma kisiitwe mkia, litafutwe jina lingine 🐒
Ufahamu ya kwamba huna uelewa wa Lugha ya Picha wala hujui kwamba Maskini anateseka kupanga foleni haendi kwenye shughuli zake kupiga kura ili aje kuibiwa kura na matajrii Utakuwa ni Aina Ya pimbi..soma bila mihemko wala makasiriko gentleman, itakusaiadia sana aise kuongeza uelewa na ufahamu wako dhidi ya mambo haya muhimu sana jukwaani 🐒
Relax and calm down gentleman,we ni mshamba unajifanya unaelimu lakini nikisoma unachoandika nahisi Hivi hujawahi kwenda form5 na 6 ulifel form4 ukaenda cheti umejitaidi cheti ume pass tuu Umeishia diploma 1 kama sio 2... kuita watu Gentleman its whack... mnajiita Gentleman wengi wenuu haujui maana Yakua Gentleman..
Wenzetu uwa mnalipwa shilling ngapi?Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
huenda hako kazee ndio kanalipwa kutokana na uropokaji wake 🐒Wenzetu uwa mnalipwa shilling ngapi?
andika uzi mahususi bila kuhamisha magoli kisayansi gentleman 🐒
Don't call me Gentleman Dawg Im Not From That Funny World You From....Relax and calm down gentleman,
mbona weo sana aise?🤣
punguza makasiriko basi kamanda graduate 🤣
na uwakika unaeza ukalala na shoga kitandani kwko kisa umeambiwa na maboss wakoo.... unajiona Msomi Nipe Definition Ya Maskini....A true definition ya maskini usije nijibu upumbavu wa Darasanihuenda hako kazee ndio kanalipwa kutokana na uropokaji wake 🐒
Unadhani imeongezeka basi? Ni ile ile buku 7...ila kina baba levo na Mwijaku na Masanja itakuwa juu kidogoWenzetu uwa mnalipwa shilling ngapi?
We mzee n wa hovyo sana, ukweli unapingana nao tu kwasababu unakuhusu. Angesema wa upande wa huko unakoamini ungekuwa unaimba mapambio hapa jukwaani. Siasa zisikufanye upoteze akili yakoGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Jenerali Ulimwengu haogopi kutekwa na kunyang'anywa uhai na magenge ya chura kiziwi!? Hongera Dr. Mpango kwa kukataa unafiki wa kushirikiana na waliolowa damu za watu mikononi mwao licha ya cheo kikubwa.Pia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095