PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
uhuru wako binafsi na hako kazee karopokaji mkaufanyie kwenye familia zenu, huku mkila na huyo nguruwe mwenye lipstick gentleman,

but,
Uhuru wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni uhuru wa waTanzania wote kwa ujumla, kwa mujibu wa katiba šŸ’
sababu umemzalilisha kwa maneno machafu huyo mzee
 
badala kalee wajukuu nyumbani kanakuja kumbwelambwela mitandaoni kwa uropokaji,

hii ndio aina ya vizee vinavyopitaga na wajukuu zao kwasabb vinahisi na vyenyewe ni vitoto šŸ’
Kamshauri Wasira ambaye akiwa jukwaani anajikojolea
 
Vijana wenyewe Sasa mtihani,kama tlaahtlaah na mwashambwa!
Vijana wa sikuhizi ni waumini wa mifumo kandamizi kama huu wa unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data
 
Don't call me Gentleman Dawg Im Not From That Funny World You From....
Tatzo ninajia kusoma alfu huongelei ukweli utadhani umesomeshwa zile shule za Mama kikwte Ukapewa ajira na mume wake kama huna Connection na Ikulu ya Tz umekaa apa Jamii unatetea serekali iliopo madarakni na Kama wew ni mwanaume Aki huna Cent ya Akili
aah naona unamwaga ung"eng"e ndugu graduate, right?šŸ’
 
Vijana wa sikuhizi ni waumini wa mifumo kandamizi kama wa unyumbu wa kisiasa, unyumbu wa kisiasa ni tabia ya wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki)
Haina jinsi,mabadiliko yakija huwezi kuyazuia,swala ni muda tuu!
 
aah naona unamwaga ung"eng"e ndugu graduate, right?šŸ’
nakuuliza Swali nijibu..... unaezaje kuondoa umaskini kwa wananchi wengi sana angali upo kwenye kifungo kikubwa cha madeni unajua maji yanakatika Mjini hadi leo 2025 na chama kilichopo ni CCM miaka yote nijibu
 
badala kalee wajukuu nyumbani kanakuja kumbwelambwela mitandaoni kwa uropokaji,

hii ndio aina ya vizee vinavyopitaga na wajukuu zao kwasabb vinahisi na vyenyewe ni vitoto šŸ’
Wewe na Wassira mnapishana miaka minne na bado mnatoa boko mpaka Mzee Mpango anasusa! Hushangai!
 
nakuuliza Swali nijibu..... unaezaje kuondoa umaskini kwa wananchi wengi sana angali upo kwenye kifungo kikubwa cha madeni unajua maji yanakatika Mjini hadi leo 2025 na chama kilichopo ni CCM miaka yote nijibu
Jamii imenasa kwenye mikopo kausha damu, haina tena uwezo wa kubuni Mirada endelevu
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cšŸ’
mzee ndo kwanza kavunja madishi yote ya azam na dstv huyo miss kinondoni wenu nguruwe muliyempaka lipustick hafai watanzania hawamtaki, no reforms no election
 
CCM anaeza kuvunja mikataba ya kihuni alaiondikishana na Mzungu bila kuingia Mjuzi wa Sheria na mwenye uchungu na Nchi yake?
Mm sio Graduate isitoshe elimu yetu tuliosoma shuleni ni yakumfanya CCM abaki madarakani Milele ninayoelimu ya Utambuzi Wa "alkabulani"
 
Unatoaje constructive ideas kwa nguruwe, watakuelewa?
It’s one nguruwe to know

Yeye pia ni nguruwe

Sio kwamba yeye Ana somo chafu peke yake…. There are plenty of filthy nguruwe like him

He could have chosen better words
 
Mm sio Graduate isitoshe elimu yetu tuliosoma shuleni ni yakumfanya CCM abaki madarakani Milele ninayoelimu ya Utambuzi Wa "alkabulani"
Haufundishwi Darasani unaitajika ukosoe kilichopo miaka yote madarakani unaona kwamba tunajitafuta kumbe tunajiabisha
 
Back
Top Bottom