PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

PreGE2025 Jenerali Ulimwengu: Tume Huru ya Uchaguzi sawa na Nguruwe aliyepakwa lipstick!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒

Ulimwengu haropoki hata kidogo. Ni mtu anayejitambua ambaye ni mkweli na aliyenyoka, ILA wewe kichwani hakupo sawasawa. Shughulikia tatizo lako la kichwani, utakuwa na uwezo wa kuelewa wanachoongea watu wenye akili timamu kama Jenerali Ulimwengu.
 
Unapitia wakati mgumu, sana gentleman, kulazimisha kuwaaminisha raia wenye akili timamu kuwa nguruwe anaweza kuwa miss kinondoni, kisa tu amepakwa lipstick, pole gentleman, ndiyo ujira wa kusimama upande wa uovu.

Akili yako ndogo ndiyo maana huelewi kitu kinachoitwa, 'lugha ya picha'
 
Ulimwengu haropoki hata kidogo. Ni mtu anayejitambua ambaye ni mkweli na aliyenyoka, ILA wewe kichwani hakupo sawasawa. Shughulikia tatizo lako la kichwani, utakuwa na uwezo wa kuelewa wanachoongea watu wenye akili timamu kama Jenerali Ulimwengu.
mbona weo sana gentleman,

kama umefurahia uropokaji wa hicho kizee si ujieleze kwa kurelax tu gentleman bila mihemko wala makasiriko 🐒
 
badala kalee wajukuu nyumbani kanakuja kumbwelambwela mitandaoni kwa uropokaji,

hii ndio aina ya vizee vinavyopitaga na wajukuu zao kwasabb vinahisi na vyenyewe ni vitoto 🐒

Na wewe punguani ambaye huna uwezo wa akili wa kufikia hata 1% ya Jenerali Ulimwengu, unaamini una akili ya kuchallenge lugha ya picha aliyotumia Ulimwengu!!
 
Na wewe punguani ambaye huna uwezo wa akili wa kufikia hata 1% ya Jenerali Ulimwengu, unaamini una akili ya kuchallenge lugha ya picha aliyotumia Ulimwengu!!
kasongo mbona weo sana aise,

mbona una mihemko na makasoriko tu gentleman, uko sawa kweli?

relax kufurahia uropokaji wa hako kazee 🐒
 
kumbafu sana aise dah,

hivi vizee ndezi sana kwa kujibebisha kisiasa mitandaoni ili kuvutia vijukuu 🐒
Nilishapendekeza kuwa vizee vyote vyenye tabia hii vihasiwe ili visiharibu watoto na jamii kwa ujumla, lakini sirikali haikufanyia kazi ombi langu.

Vitolewe makende kabisa.
 
Don't panic stay cool. TUME HII YA CCM INA uhuru gani mkuu?
uhuru wako binafsi na hako kazee karopokaji mkaufanyie kwenye familia zenu, huku mkila na huyo nguruwe mwenye lipstick gentleman,

but,
Uhuru wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ni uhuru wa waTanzania wote kwa ujumla, kwa mujibu wa katiba 🐒
 
Unapitia wakati mgumu, sana gentleman, kulazimisha kuwaaminisha raia wenye akili timamu kuwa nguruwe anaweza kuwa miss kinondoni, kisa tu amepakwa lipstick, pole gentleman, ndiyo ujira wa kusimama upande wa uovu.
Yaani kuna watu humu mburura sana hamjui fasihi ya lugha linganifu.

Kwa hiyo Mwinyi alivyosema mimi ni kichuguu ukinilinganisha na Nyerere, alikuwa anawaaminisha watu wenye akili timamu yeye alikuwa kichuguu? Hebu nenda shule kaongeze elimu, kuishia darasa la saba ukajua kutumia JF sio mwisho wa kujielimisha
 
Nilishapendekeza kuwa vizee vyote vyenye tabia hii vihasiwe ili visiharibu watoto na jamii kwa ujumla, lakini sirikali haikufanyia kazi ombi langu.

Vitolewe makende kabisa.
haka kazee kawe kakwanza, halafu mzee slaa na mpiga vizinga mkuu mzee lwaitama wafuate mara moja maana vina midomo chafu na havina maadili kabisa 🐒
 
Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2c🐒
Badala ya kujibu hoja mnaweweseka kama hivi na kutumia polisccm kuwaweka watu ndani. Bata wahed!
 
Back
Top Bottom