Gentleman,Pia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
Hilo ni kombora la Patriot ambalo CCM na vikaragosi vyao hawawezi kulizuia πππGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cπ
Wewe unaona hapo karopokaGentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cπ
sasa kazee kama hako gentleman ni kwamba kanakukoshaaaa graduate, right?π€£Hilo ni kombora la Patriot ambalo CCM na vikaragosi vyao hawawezi kulizuia πππ
Poor Brain njoo kaone jamaa yako anachosema.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cπ
si tu karopokaji bali pia kapotoshaji hako kazee gentleman πWewe unaona hapo karopoka
Unapitia wakati mgumu, sana gentleman, kulazimisha kuwaaminisha raia wenye akili timamu kuwa nguruwe anaweza kuwa miss kinondoni, kisa tu amepakwa lipstick, pole gentleman, ndiyo ujira wa kusimama upande wa uovu.Gentleman,
huyu mzee alivyokosa maadili utadhani ndio amebalehe na kuvunja ungo majuzi tu. Amekua jasiri wa kuropoka kama vile anasoma form2cπ
Jamaa kila siku napata tabu kutamka jina lake aiseeee ππππPoor Brain njoo kaone jamaa yako anachosema.
sasa kazee kama hako gentleman ni kwamba kanakukoshaaaa graduate, right?π€£
badala kalee wajukuu nyumbani kanakuja kumbwelambwela mitandaoni kwa uropokaji,Poor Brain njoo kaone jamaa yako anachosema.
hastahili hata kua kwenye mstari gentleman,generali Ulimwengu ukimpanga mstari mmoja na wassira yupi anastahili kuitwa KAZEE?
Call a spade a spade not a big spoonPia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095
Hahahah, ukitaka ugomvi naye msema vibaya Samia.Jamaa kila siku napata tabu kutamka jina lake aiseeee ππππ
relax tu akili mbovu πJamaa kila siku napata tabu kutamka jina lake aiseeee ππππ
Hahaha ππ, unaweza kukuta mavuzi ndo yanaanza kumwota.badala kalee wajukuu nyumbani kanakuja kumbwelambwela mitandaoni kwa uropokaji,
hii ndio aina ya vizee vinavyopitaga na wajukuu zao kwasabb vinahisi na vyenyewe ni vitoto π
Mchicha, kikikikiHahaha ππ, unaweza kukuta mavuzi ndo yanaanza kumwota.
Hebu tumkague kwanza kabla ya kumshambulia kwa maneno.
Huu mfanoππPia Amesema viongozi wa Serikali hawana haya na wanaishia kutenda vitu vya aibu kwa kukiuka sheria za nchi!View attachment 3305095