Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
1,530
Reaction score
1,903
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa.

Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana na wakina warioba, butiku, msekwa, Mwabukusi,
 
Sijamsikia akitoa maoni yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa.

Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana na wakina warioba, butiku, msekwa, Mwabukusi,

Wanachoka wazee wa watu ndugu, wakati vijana wenye nguvu wanakata mayenu tu na uchawa wa ccm na wengine Kwa diamond na wapenzi wake!
 
kama anabwatuka peke yake tu wala hamna anayemsaidia unategemea nini? kimsingi alikua kama anaongea peke yake tu wala hana sapoti , kama mtu anawasanua kwa faida yenu mnaishia kumkejeli dio mle jeuri yenu, maamae.
 
Kweli kabisa mkuu, Tanzania ukipigania haki za watu, mwisho wa siku unajikuta ukopeako, ni Kazi sana,ndio maana watu tunakataa tamaa
 
Wanachoka wazee wa watu ndugu, wakati vijana wenye nguvu wanakata mayenu tu na uchawa wa ccm na wengine Kwa diamond na wapenzi wake!
Ni shida sana mnatuachia wazee ndio tuwe msitari wa mbele ,huku vina mnatafuta fursa za kuteuliwa mnaacha kupiginia taifa lenu
 
Mzee Ulimwengu ni mnafiki. Hili lipo wazi.
Waswahili tunasema "usiongee wakati wa kula"
 
Back
Top Bottom