Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa.
Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana na wakina warioba, butiku, msekwa, Mwabukusi,
Kweli kabisa mkuu, Tanzania ukipigania haki za watu, mwisho wa siku unajikuta ukopeako, ni Kazi sana,ndio maana watu tunakataa tamaakama anabwatuka peke yake tu wala hamna anayemsaidia unategemea nini? kimsingi alikua kama anaongea peke yake tu wala hana sapoti , kama mtu anawasanua kwa faida yenu mnaishia kumkejeli dio mle jeuri yenu, maamae.
Ni shida sana mnatuachia wazee ndio tuwe msitari wa mbele ,huku vina mnatafuta fursa za kuteuliwa mnaacha kupiginia taifa lenuWanachoka wazee wa watu ndugu, wakati vijana wenye nguvu wanakata mayenu tu na uchawa wa ccm na wengine Kwa diamond na wapenzi wake!