Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kifo anaogopa ndio maana yupo hai kama haogopi kifo aache kula au aende barabarani akasimame agongwe na gari chezea kifo weyeee🤣🤣🤣🤣Wenzio hao awaogopi kufa na wanajua watakufa tu ttz liko kwako ww unaogopa kufa ilhali utakufa tu
Tutapeana taarifa.C
Hahahhah pray for iran zitaanza lini
Nani kasema Ebrahim Raisi aliuliwa na Israel?Mbona walimla ,kichhwa raisi wao nahakuna kiliicho tokea , Ayatollah yupo kwenye njia ya kifo chake
Sasa wewe mchoma mahindi 🌽 tu unapinga wakati hata wenyewe walikiri sasa subiri akina Ayatollah nao waliwe kichwa ndio tuje tusikie jihadists mnasema tena nini.Nani kasema Ebrahim Raisi aliuliwa na Israel?
Lete hata chanzo cha taarifa yako.
Burna boy bwanaKifo anaogopa ndio maana yupo hai kama haogopi kifo aache kula au aende barabarani akasimame agongwe na gari chezea kifo weyeee🤣🤣🤣🤣
Tulia wewe muokota makopo!Sasa wewe mchoma mahindi 🌽 tu unapinga wakati hata wenyewe walikiri sasa subiri akina Ayatollah nao waliwe kichwa ndio tuje tusikie jihadists mnasema tena nini.
Huu uongo mbona unaushikilia sana!?Mbona walimla ,kichhwa raisi wao nahakuna kiliicho tokea , Ayatollah yupo kwenye njia ya kifo chake
Kila kitu kinaenda kwa mipangoHuu uongo mbona unaushikilia sana!?
Yani walipize kisasi cha general washindwe kulipiza cha rais!?
Sio kihivyo udhaniavyo.Kila kitu kinaenda kwa mipango