Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Kifo anaogopa ndio maana yupo hai kama haogopi kifo aache kula au aende barabarani akasimame agongwe na gari chezea kifo weyeee🤣🤣🤣🤣Wenzio hao awaogopi kufa na wanajua watakufa tu ttz liko kwako ww unaogopa kufa ilhali utakufa tu