Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Posts
625
Reaction score
95
Gen.png

Wapendwa, nimechoka na kero za kukatika umeme kila mara. Nimeamua kutafuta generator japo napo ninatafuta makelele ya mngurumo wake.

Je, nitapata wapi generator nzuri kwa kijihela changu cha laki 4? Yaani 400,000/=.

Vitu vyangu ni vya kawaida: fridge 2, taa kama 13 hivi, microwave, tv set, pasi 2, etc.

Je, kwa hela kama hiyo nitapata generator? Aina gani ndio nzuri?

Nisaidieni waungwana.


MAHITAJI YA WADAU KUHUSU JENERETA​
Nahitaji Generator kwa kweli Tanesco wanaweza kufanya ukahisi biashara ngumu mwisho ukafunga,naomba kabla sijaenda dukani mnisaidie kujua brand ipi ni nzuri na kwanini ni nzuri tofauti na nyingine.

Nahitaji magenerator mawili yenye uwezo tofauti la kwanza liweze kuwasha vifaa vifuatavyo:

.FLAT TV nch 32 nne,

.Computer Desktop Complete 3,

.Fridge 1 (deep Freezer)

Generator la pili liwashe vifaa vifuatavyo:

.Computer Desktop mbili (cpu+monitor)x2

.Taa watt 75 zipo tano

Naomba kusaidiwa kujua generator gani zuri na bora na lisiwe linafyonza mafuta kama maji,kama kuna ujanja wa kufanya ili yasiwe yanakula mafuta naombeni pia mnisaidie kujua cha kufanya.

USHAURI UJIKITE KWENYE:

1. BEI
2. UBORA
3. MAUJANJA

Karibuni nasubiri msaada wenu na uchambuzi wenu.

Nimalizie kwa hili swali: 1 litre inaweza kwenda masaa mangapi? Kwa Genarator A na Generator B ikiwa vyombo/vifaa vipo ON muda wote.

Aico-5kva.jpg

UPDATES

YES mkuu Active Brain nimefanikisha nimechukua yote mawili ila sijayanunulia Kariakoo nimeyachukulia POSTA

Generator la 1

Kampuni: ZEC 3.1KW

Bei : 850,000

Generator la 2

Kampuni : Kingmax 2.1KW

Bei : 450,000

Nimeamua Kuchukua kampuni hizi mbili tofauti na makusudi kabisa ili nione kama lakunikuta linikute (nijifunze),next time nijue kitu kuhusu haya makitu Maana ki ukweli sijawahi tumia haya mavitu ndio nimeanza.

WARRANTY: Generator zote mbili nimepewa Miaka Miwili (2 YRS)

Nawashukuru wote mlioweza kunipa mawili matatu kuhusu hii kitu,nimepokea ushauri wenu na leo niliutumia kuweza kujifanya nayajulia haya mavitu,mngeweza kuniona wakati nanunua mngeweza hisi NAJUAAAAA kumbe hamna lolote yani.

Asanteni na Mungu awabariki mno,Umeme Upo ila nimezima UMEME nimetia Genertor zote liter mbili mbili nione yatanifikisha ule Muda wangu ninao AGA humu ndani USIKU MWEMA, Kuhusu ubora sijui ndio mapyaa so tuombe uzima tukutane mwakani december ntakua na la kusema kuhusu haya makitu.

M'BARIKIWE

"thread closed"
Habari za kazi wakuu,

Samahanini naomba msaada wenu kufahamu ni aina nzuri za majenereta yenye ubora unaokidhi kuzalisha umeme wa kawaida tu na bei zake, ulaji wake wa mafuta n.k

NB: Nahitaji yale #madogo tu yenye nguvu ITAKAYOFAA KUZALISHA UMEME KWA AJILI YA ROOM MOJA TU KWA MATUMIZI YA KAWAIDA KAMA MWANGA USIKU, Radio, KUCHAJIA SIMU na LAPTOP nitakapokua kijijini nafanya kazi kwa kipindi hichi.

Natanguliza shukrani zangu kwenu.
Ahsanteni.
Habari Wadau,

Nilikuwa nina ofisi yangu sasa kutoka na kero ya umeme nataka kununua jenereta sasa sina uzoefu na majenereta kiujumla nilikuwa naomba msaada kwa wazoefu wa majenereta je ni aina gani nzuri ya jenereta naweza kununua kwaajil ya mahitaji ya ofisi yangu?

NB: Ofisi yangu ina laptop 2, printer moja pamoja na water dispenser.
Wapendwa, nimechoka na kero za kukatika umeme kila mara. Nimeamua kutafuta generator japo napo ninatafuta makelele ya mngurumo wake.

Je, nitapata wapi generator nzuri kwa kijihela changu cha laki 4? Yaani 400,000/=.

Vitu vyangu ni vya kawaida: fridge 2, taa kama 13 hivi, microwave, tv set, pasi 2, etc.

Je, kwa hela kama hiyo nitapata generator? Aina gani ndio nzuri?

Nisaidieni waungwana
Habari zenu wana jamii,

Nina kashamba kangu maeneo ya rufiji lakini kuna shida sana ya maji hivyo kulima bustani na ufugaji imekuwa ngumu, nilifanya utafiti wa ili nichimbe kisima ikaonekana maji yanaweza kupatikana mita 100 kwenda chini, lakwanza ningeomba mtu yoyote anayefahamu makampuni yanayochimba visima kwa gharama nafuu lakini kazi ya uhakika.

Swala la pili ningeomba mwenye kufahamu sehemu nitakapoweza kupata generator za kv 6 mpaka 10 mpya na zilizotumika kwa bei nafuu.

Tatu ningeomba kufahamishwa kati ya simtank, polytank na kiboko lipi bora zaidi, na wapi nitawaza kupata rank la lit 3000 na 5000 kwa bei poa?

Naombeni msaada wenu.


MICHANGO YA WADAU ​
UNACHOHITAJI KUJUA KABLA YA KUNUNUA JENERETA​

Ni vizuri kunafanya utafiti wako kabla ya kununua jenereta yako mpya. Hapa kuna vidokezo kadhaa unavyoweza kukumbuka:

Amua ni umeme kiasi gani unahitaji
Hatua ya kwanza unayopaswa kuchukua ni kuorodhesha vifaa na vifaa vya elektroniki ambavyo unahitaji kutumia ikiwa umeme utazima. Hii haimaanishi vifaa vyako vyote nyumbani; lazima uweke kipaumbele. Kwa mfano, unahitaji taa, jokofu, hita au kiyoyozi, nk. Angalia kiasi cha watts zinazohitajika kwa kila kifaa na ujumlishe. Kutoka hapo, utajua ni umeme kiasi gani unahitaji kutoka kwa jenereta.

Tengeneza mahali pa kuweka jenereta yako
Hasa unapopata jenereta ya petroli lazima ujue kuwa inapaswa kuwekwa angalau mita 15 kutoka kwa nyumba yako au vitu vingine. Hizi zinaweza kutoa carbon monoxide katika kiwango cha hatari sana hivyo lazima pia uhakikishe kuwa haiingii kwenye nyumba yako kupitia madirisha. Ukiwa unalitumia hakikisha unaliweka chini ya hema ama mahala salama ambapo mvua haifiki.

Jifunze zaidi kuhusu jenereta

Sio jenereta zote zinafanana. Wakati jenereta ni huduma muhimu unayohitaji kupata usambazaji wa umeme wa kuaminika, ni vyema ukijua vile vifaa hivi hufanya kazi.

Baadhi ya mambo haya ni pamoja na:
Kuwasha jenereta: Majenereta mengine hutumia swichi rahisi kuwasha. Kuna mengine ambayo huanza automatically wakati umeme ukikatika. Ni vizuri kuwa na jenereta inayojiwasha kiotomatiki ikiwa utapata dharura.

Geji ya kusoma kiasi cha Mafuta: Kipimo cha mafuta kinakuonesha ni mafuta kiasi gani ambayo bado yamebaki kwenye jenereta yako. Hii inakupa uwezo wa kujua ikiwa tayari unahitaji kuijaza tena.

Kujizima kiotomatiki wakati mafuta yakiisha au kubaki kidogo: Badala ya kuwa na wasiwasi juu ya kutozima jenereta kwa wakati kabla ya tanki la mafuta kuwa tupu, mashine yenyewe hujizima. Hii ni sifa nzuri kwani inasaidia kuzuia kuharibika kwa injini.
ZINGATIA HAYA WAKATI WA KUNUNUA JENERETA​

1. Aina ya Mafuta. Unahitaji kuamua ikiwa unataka dizeli au jenereta ya petroli. Jenereta za dizeli mara nyingi ni ghali zaidi kuliko zile za petroli, na zinahitaji gharama kubwa za matengenezo. Hata hivyo, injini ya dizeli inatumia mafuta vizuri zaidi ikilinganishwa na jenereta za petroli. Labda talipa zaidi kununua ya dizeli, lakini inaweza kuwa uamuzi wa busara. Jenereta ya dizeli ni ya kudumu na haihitaji matengenezo ya mara kwa mara ukilinganisha nay a petrol.

2. Ya stationary au Portable. Familia ya jenereta ina matawi mawili makuu: jenereta za kubebea (portable) na za kusimika (stationary). Jenereta portable zinagharimu kidogo kuliko hizo nyingine, na unaweza kuzihifadhi kwenye stoo yako wakati hauitumii Aina za stationary hufunga nje ya nyumba yako na huwaka automatically wakati umeme ukikatika. Ikiwa unataka umeme ambao unahama nao, potable ni bora zaidi. Ila unahitaji uhakika wa nishati kwa ajili ya jengo, jenereta za stationary zenye nguvu ni chaguo sahihi.

3. Mahitaji. Kununua jenereta sio rahisi kama kuchagua kitu kwenye shelfu za duka. Kwa kuwa jenereta hutoa nishati, unapaswa kujua ni nishati kiasi gani unahitaji na kwa muda gani. Unapaswa pia kuzingatia umuhimu wa vifaa unavyotaka kuwasha. Kwa mfano, kuuunga kompyuta yako moja kwa moja kwenye jenereta ni wazo baya. Kujua kiasi cha umeme unachohitaji inaweza kusaidia kuchagua jenereta inayofaa na yenye uwezo wa kutosha wa usambazaji wa umeme.

4. Mafuta. Linapokuja suala la mafuta, kuna chaguzi kadhaa za kuzingatia. Jenereta zingine hutumia mafuta ya petrol au dizeli, kuna zile ambazo hutumia dizeli asilia, na chache ambazo hutegemea paneli za sola. Mara tu umeamua juu ya aina ya mafuta yako, sasa unaweza kufikiria njia za kuhifadhi mafuta hayo ili uwe na akiba wakati wote. Hakikisha kuwa jenereta yako haimalizi mafuta wakati bado inawaka na na ina-supply umeme kwa nyumba yako.

5. Kelele. Jenereta mara nyingi huwa na kelele. Fikiria suala la kelele katika eneo lako na ikiwa majirani zako watakasirika. Labda pia utafikiria juu yako mwenyewe kwani hakuna mtu anayependa sauti kubwa ya jenereta karibu. Kuna umbali salama na upeo salama wa kuweka jenereta. Tafuta nini kitafanya kazi bora kwa mazingira yako.
NUNUA JENERETA ZA HONDA AU YANMAR 3500 ​

Achana na zi-jenerator ndogondogo zitachoma na kuunguza vifaa vyako. Jenereta nzuri kwa maana hiyo hazipatikani Tanzania. wachuuzi wetu wanaleta bidhaa duni kutokana na uwezo wetu wa kutonunua vifaa ghali na vyenye ubora.

Ungelikuwa na kama $2000 ningelikushauri utumie solar na inverter ya 5000watts ingelitosha kwa usalama wa vifaa vyako na kubana matumizi. Panel za solar zinadumu zaidi ya miaka ishirini na tano na betri hudumu si chini ya miaka mitano. hesabu za LUKU na MAFUTA YA GENERATOR sidhani kama zitakuwa na uwiano na za solar.

Matumizi ya generator ni makubwa mno kwani ikiwa inabana matumizi ya mafuta kama wanavyosema utatumia kwa uchache lita tano kwa masaa kumi na nane. Aidha, unaweza kujibana na kutumia lita 2-3 kwa siku kutokana na uchache wa vifaa utakavyotumia. lakini ukiongeza vifaa ndipo balaa la mafuta linapokuja!

Ila jitahidi upate jenereta za Honda au YANMAR 3500 zinaweza kukufaa. (kuwa makini katika kusoma majina -uchakachaji ni mwingi unaweza kukuta inasomwa KHONDA au YANYMAR)
NUNUA KWA MSAMBAZAJI UNAYEMUAMINI, TUMIA MAFUNDI WALIOIDHINISHWA​

Sina jina la manufacturer ila Incase ukikosa unachotaka hapa, fanya hivi:

1. Nunua jenereta lenye waranti na isiwe chini ya mwaka mmoja.

2. Nunua kwenye maduka ya wahindi. Japo hawana bageini na bei zimesimama ila in most cases bidhaa zao zina ubora mzuri. Kwa kifupi nunua kwa supplier unaye muamini.

3. Ukisha nunua hakikisha unapitia operation manual na uwe unalifanya matengenezo/maintance timely! sio unangoja likiharibika ndio unaenda kubadilisha oil! utakua mjinga!

4. Likiharibika (na kama warranty yake imeisha) sio unapeleka likafanyiwe matengenezo na fundi wa kichochoroni, peleka kwa mafundi wanaojielewa. Kama lipo kwenye warrant basi omba ushauri kwa aliyekuuzia.

Yangu ni hayo.
VIDOKEZO YA KUTUMIA JENERETA
​
Kidokezo 1: Kamwe usitumie jenereta ndani au karibu sana na nyumba yako
Watengenezaji wa jenereta wanakuonya juu ya hatari za sumu ya carbon monoxide. Bado kila mwaka, watu hufa kutokana na kuweka jenereta zao kwenye stoo, sehemu ya kupaki gari ndani ya nyumba au karibu sana na nyumba. Watengenezaji si wa watoto hivyo tunapaswa kuwasikiliza na kufanyia kazi ushauri wao. Usiwashe jenereta yako ikiwa ndani, hata ikiwa mlango upo wazi.

Kidokezo cha 2: Acha jenereta ipoe kabla ya kujaza tena mafuta
Uwekaji mafuta unaweza kugeuka kuwa janga ikiwa utaweka mafuta wakati jenereta ni la moto. Fikiria jikiwa utamwagia petrol kwenye injini ya moto.

Kidokezo 3: Punguza urefu wa waya kuzuia uharibifu wa vifaa
Jenereta zina sauti kubwa, kwa hivyo watumiaji wengi hupendelea kuweka mbali na nyumba. Hiyo ni sawa tu kama unatumia waya ambao ni heavy-duty, yaani mzito na madhubuti. Hata waya wa guage 12 una kikomo chake. Kamwe usizidi urefu wa jumla ya 100 ft kutoka kwenye jenereta hadi vifaa.

Kidokezo 4: Mafuta mabaya yanaweza kuharibu jenereta yako
Kila mtengenezaji wa jenereta anapendekeza kutuia mafuta ambayo hayajachakachuliwa au yenye kasoro yoyote. UMafuta mabaya yanaweza kukupa hasara ya kuharibika kwa jenereta au vifaa unavyotumia kupitia nishati inayozalishwa na jenereta.

MATENGENEZO YA JENERETA ZA DIZELI​
7 steps to proper maintenance of diesel generator​

A diesel generator is the combination of a diesel engine with an electric generator (often an alternator) to generate electrical energy. This is a specific case of engine-generator. A diesel compression-ignition engine often is designed to run on fuel oil, but some types are adapted for other liquid fuels or natural gas.

They require less maintenance due to their durability, reliability and the sturdiness characteristic and also they are considered cheaper to operate due to the low fuels costs as compared to the other types of fuels such as gasoline and propane.

They can withstand heavy load for long hours and start off the power supply on full load within minutes and must be regularly maintained to ensure they provide quality power throughout their service life. The best generator maintenance practice is following the maintenance schedule provided by the manufacturer of the generator to ensure maximum service time for the generator and proper operation when it is called upon to provide power.

Having a well-designed and well-maintained standby power system is the best protection against utility power outages.For hospitals and other health-care facilities they can be life-threatening. For businesses like data centers, the outages can be enormously costly. Other critical facilities at risk include government offices, police departments, fire stations, airports, and water/sewage treatment plants.

The preventive maintenance tips for the diesel generator that guarantees uninterrupted power supply that is innocuous and consistent for all the needs intended for. They include the following aspects:

Diesel Generator Routine General Inspection
During the running of the diesel generator, the exhaust system, fuel system, DC electrical system and engine require close monitoring for any leaks that can cause hazardous occurrences. As with any internal combustion engine, proper maintenance is essential. According to Georgia Scott of Constant Power Solutions one of the leading Generator and Power Equipment Manufacturers in the UK, standard servicing and oil change times are recommended at 500hrs, however some applications may require shorter servicing times which is why after sales services should be top notch.

CPS
​
1. Lubrication Service
The engine oil must be checked while shutting down the generator at regular intervals using a dipstick. Allow the oil in the upper portions of the engine to drain back into the crankcase and follow the engine manufacturer’s recommendations for API oil classification and oil viscosity. Keep the oil level as near as possible to the full mark on the dipstick by adding the same quality and brand of oil.

The oil and filter must also be changed at acclaimed time intervals. Check with the engine manufacturer for procedures for draining the oil and replacing the oil filter and their disposal is to be done appropriately to avoid environmental damage or liability.

Nevertheless, it pays to use the most dependable, highest quality oils, lubricants and coolants to keep your engine working. Therefore, according to Jim Girard of Lubriplate from Newark NJ, in the US, it is highly advisable to purchase lubricants that comply with the Original Equipment Manufacturer’s (OEM) generic lubricant specifications.

2. Cooling System
Check the coolant level during shutdown periods at the specified interval. Remove the radiator cap after allowing the engine to cool, and, if necessary, add coolant until the level is about 3/4 in. Heavy-duty diesel engines require a balanced coolant mixture of water, antifreeze, and coolant additives. Inspect the exterior of the radiator for obstructions, and remove all dirt or foreign material with a soft brush or cloth with caution to avoid damaging the fins. If available, use low-pressure compressed air or a stream of water in the opposite direction of normal air flow to clean the radiator.

3. Fuel System
Diesel is subject to contamination and corrosion within a period of one year, and therefore regular generator set exercise is highly recommended to use up stored fuel before it degrades. The fuel filters should be drained at the designated intervals due to the water vapor that accumulates and condenses in the fuel tank.

Regular testing and fuel polishing may be required if the fuel is not used and replaced in three to six months. Preventive maintenance should include a regular general inspection that includes checking the coolant level, oil level, fuel system, and starting system. The charge-air cooler piping and hoses should be inspected regularly for leaks, holes, cracks,dirt and debris that may be blocking the fins or loose connections.

According to Marketing Department of the Italy-based Visa SpA one of the world’s leading gensets suppliers, dedicated to design, production, sales and rental of generating sets; some engines used in Stand-by generating set applications have had a few issues concerning diesel fuel.

“While the engine maintains its mechanical properties, it can give rise to problems related to the quality of diesel fuel. The chemical make-up of diesel fuel has changed in recent years; a certain percentage of biodiesel at low or high temperatures releases impurities, while a certain percentage of biodiesel at warm temperatures mixed with water (condensation) can be the cradle of bacterial proliferation. Besides, the reduction of Sulphur reduces lubrication, which eventually blocks the fuel-injection pumps.”

OnisVisa_GalaxyVM_18

“Moreover, by purchasing a genset, it is important to know that a wide range of optional accessories are available that allow to extend maintenance intervals and ensure providing quality power throughout the genset’s life. In the mobile range for example, Visa SpA offers fuel water separator filters, giving the customers the reassurance required when engine failure is not an option, or the fuel tank inspection points.”

Ms. Clarizza Cortez of Adpower one of the leading providers of Diesel and Gas Generators in the Middle East and North Africa also mentions that, since the fuel quality is bad in most countries, they install Water Separator Fuel Filters and additional filtration system to protect the sensitive fuel injection system; and advise the customers to replace the elements on time to avoid such breakdowns.

4. Testing Batteries
Weak or undercharged starting batteries are a common cause of standby power system failures. The battery must be kept fully charged and well-maintained to avoid dwindling by regular testing and inspection to know the current status of the battery and avoid any start-up hitches of the generator. They must also be cleaned; and the specific gravity and electrolyte levels of the battery checked frequently.

• Testing batteries: Merely checking the output voltage of the batteries is not indicative of their ability to deliver adequate starting power. As batteries age, their internal resistance to current flow goes up, and the only accurate measure of terminal voltage must be done under load. On some generators, this indicative test is performed automatically each time the generator is started. On other generator sets, use a manual battery load tester to attest the condition of each starting battery.

• Cleaning batteries: Keep the batteries clean by wiping them with a damp cloth whenever dirt appears excessive. If corrosion is present around the terminals, remove the battery cables and wash the terminals with a solution of baking soda and water (¼ lb baking soda to 1 quart of water). Be careful to prevent the solution from entering the battery cells, and flush the batteries with clean water when finished. After replacing the connections, coat the terminals with a light application of petroleum jelly.

• Checking specific gravity: In open-cell lead-acid batteries, use a battery hydrometer to check the specific gravity of the electrolyte in each battery cell. A fully charged battery will have a specific gravity of 1.260. Charge the battery if the specific gravity reading is below 1.215.

• Checking electrolyte level: In open-cell lead-acid batteries, verify the level of the electrolyte at least every 200 hr of operation. If low, fill the battery cells to the bottom of the filler neck with distilled water.

5. Routine Engine Exercise
Regular exercising keeps the engine parts lubricated and thwart oxidation of electrical contacts, uses up fuel before it deteriorate, and helps to provide reliable engine starting. Engine exercise is recommended to be executed at least once a month for a minimum of 30 min. loaded to no less than one-third of the nameplate rating.

Most importantly, when it comes to engine maintenance, according to Peter Whitfield of YorPower a leading independent UK diesel generator manufacturer, it is recommended to do inspections regularly because preventative maintenance is better than reactive maintenance. Nevertheless it is of utmost importance to follow the designated service procedure and intervals.
YorPower-501x320.jpg
​
6. Keep your Diesel Generator Clean
Oil drips and other issues are easy to spot and take care of when the engine is nice and clean. Visual inspection can guarantee that hoses and belts are in good condition. Frequent checks can keep wasps and other nuisances from nesting in your equipment.

The more a generator is used and relied on, the more it needs to be taken care of. However, a generator set that is rarely used might not need a lot of care.

7. Exhaust system inspection
In case there are leaks along the exhaust line which usually occurs at the connection points, the welds and the gaskets; they should be repaired immediately by a qualified technician.

Nevertheless according to Ms. Arlene of Maverick Generators in South Africa, always make sure your units are serviced. Especially 24 hrs before using your generators. “For standby generators for example you need to have your units serviced 150hrs on average. However if the generator is used constantly the hours go up much quicker and in more regular intervals,” she adds.

Furthermore, according to Ryan Mason of Lister Petter a manufacturer of internal combustion engines from the UK, it is quite advantageous when you have maintenance kits for different service intervals.

ZAIDI, SOMA:

AINA ZA JENERETA, SIFA, MATUMIZI NA MUONGOZO WA MATENGENEZO​

Jenereta hufanya nini?
Jenereta kimsingi ni mwokozi katika maisha. Ni vyanzo vya nishati ambavyo vinabadilisha gesi ya propane, dizeli au petroli, kuwa nishati ya umeme. Ni vyanzo vya msingi vya usambazaji wa umeme wakati wa umeme kukatika.

Aina za jenereta
Kuna aina tatu kuu ya jenereta: portable, inverter na standby. Licha ya tofauti zao, jenereta hizi zote zinapaswa kupitia matengenezo sawa ili kuhakikisha matumizi ya muda mrefu.

Jenereta Potable
Portable.jpg

Jenereta portable inaendeshwa na gesi au mafuta ya dizeli na inaweza kutoa nguvu za umeme kwa muda mchache.

Hapa kuna sifa kadhaa za kuzingatia kuhusu aina hizi za jenereta:
  • Inatumia injini-mwako kutengeneza nishati.
  • Unaweza kutumia vifaa vya umeme kupitia soketi zake.
  • Inaweza kutumika katika maeneo ya mbali, yaani ya ndanindani
  • Ina uwezo wa kutosha kuendesha televisheni, friza na jokofu.
  • Injini inapaswa kuwa katika kasi ya 3600 rpm kutoa kiwango cha 60hz cha mkondo.
  • Inatumia gavana kudhibiti kasi ya injini.
  • Zinaweza kuendesha zana na taa za majumbani
Jenereta ya Inverter
Inverter.jpg

Jenereta ya inverter hutumia injini iliyounganishwa na mbadala kutengeneza nguvu ya AC. Pia hutumia kiambatisho tofauti na jenereta zingine kubadilisha nguvu ya AC kuwa nguvu ya DC.

Hapa kuna sifa kadhaa za kuzingatia kuhusu aina hizi za jenereta:
  • Hutegemea kwenye sumaku za teknolojia ya hali ya juu.
  • Inatumia mzunguko wa umeme wa hali ya juu.
  • Kupitia hatua tatu za kutengeneza umeme.
  • Inadumisha mtiririko wa mkondo wa umeme kwa vifaa.
  • Ina nguvu zaidi, kwani kasi ya injini inajirekebisha kulingana na nguvu kiasi gani inahitajika.
  • AC yake inaweza kusetiwa kwa voltage yoyote na frequency kama ikitumiwa na vifaa sahihi.
  • Huwa ni ndogo na nyepesi.
  • Inaweza kutosha katika gari au boti ndogo.

Jenereta ya standby
Standby.jpg

Jenereta hii ni mfumo wa umeme ambao moja kwa moja unaiamuru kupeleka nishati katika vifaa vya umeme pindi tu umeme unapokatika. Hizi ni zile jenereta ambazo zinajiwasha mara tu baada ya umeme kukatika, yaani huhitaji kuiwasha manually.

Hapa kuna sifa kadhaa za kuzingatia kuhusu aina hizi za jenereta:
  • Inafanya kazi kiautomati, yaani ni automatic
  • Hutoa nishati ya umeme ya kuaminika
  • Inaweza kufanya kazi kwa propane au gesi asilia.
  • Inatumia combustion engine ya ndani.
  • Ina uwezo wa kuhisi kukatika kwa umeme ndani ya sekunde chache na huongeza umeme haraka sana ili mtumiaji asipate adha ya kutokuwa na umeme hata kwa muda mfupi tu.
  • Hujifanyia majaribio ya kila wiki moja ili kuona kuwa ina-respond vizuri dhidi ya upoteaji wa nishati na kwamba lipo katika utimamu wake.
  • Inatumika katika mifumo ya usalama kwenye lifti, taa za standdby, vifaa vya msaada wa matibabu, uokoaji wa maisha pamoja na mifumo ya kinga ya moto.

Jenereta kwa matumizi sahihi
Aina ya JeneretaMatumizi
PortableMajokofu (friji), mashine za kugongea misumari n.k
InverterBetri za gari, laptops nk
StandbyMahitaji ya dharura, lifti, vifaa na mashine za hospitali

Matengenezo ya jenereta
Utunzaji wa jenereta ni mchakato sawa na unaotumika miongoni mwa aina kuu tatu za injini. Kwanza, ni muhimu kufuata ratiba ya matengenezo iliyopendekezwa na mtengenezaji, yaani manufacturer, kwa kuzingatia aina ya jenereta husika.

Utaratibu wa matengenezo ya kawaida ni ule wa ukaguzi wa jumla. Uchunguzi unajumuisha kuangalia uvujaji, kukagua viwango vya mafuta na mafuta, kutazama mikanda na mirija na kuangalia vituo vya betri na nyaya. Ni muhimu kukagua mafuta pia, kwani lazima ibadilishwe mara kwa mara. Muda wa mafuta hutegemea mtengenezaji na aina ya jenereta. Ni mara ngapi jenereta inatumiwa na mazingira yako ya kazi. Kwa kawaida, inashauriwa kubadilisha mafuta baada ya masaa 100 ya kufanya kazi, haswa ikiwa jenereta hutumia dizeli.

Matengenezo ya jenereta yanahitaji:
Kusafisha na kuchuja mafuta kila mwaka. Kama mafuta ya dizeli huharibika haraka. Baada ya wiki chache za kufanya kazi, mafuta ya dizeli huharibika kupitia uchafuzi wa maji na vijidudu, hivyo kusababisha mistari na vichujio vya mafuta kuziba.

Kusafisha mafuta kunajumuisha kutumia biocides kila mwaka kwenye jenereta zote isipokuwa jenereta ya standby, ambayo yenyewe itaweka unyevu.

Mfumo wa upoozeshaji ni wa kutunzwa vyema, kwa kuangalia kiwango cha vimiminika vya kupoozesha. Hii lazima ifanyike wakati wa kuzima.

Kuangalia nguvu ya betri; hii ni kweli hasa kwa jenereta za standby, kwani masuala ya betri ndio sababu kuu ya aina hizi za jenereta kufeli. Hakikisha betri ni imara na zimechajiwa vya kutosha ili kudumu kwa muda mrefu na kutosababisha hitilafu wakati wa kuwasha jenereta.

Pima mara kwa mara ili kujua hali ya betri kwa wakati husika. Upimaji ni pamoja na kuangalia viwango vya electrolyte na nguvu maalum ya betri. Betri zenyewe pia lazima ziwe safi.

Utunzaji zaidi wa jenereta
Mbali na mambo hayo hapo juu, ni muhimu pia kuliwasha jenereta kila wiki kwa dakika 30 katika kipindi ambacho halitumiki mara kwa mara. Hii itasaidia kuchaji betri, kuondoa unyevu kupita kiasi, kutia mafuta injini na kuchuja mafuta na foil. Sehemu zozozte za Jenereta ambazo hazijakazwa vizuri ni lazima zirudishiwe mahala pake.

Unapaswa pia kuweka kumbukumbu za ukaguzi kwa ajili ya baadaye. Rekodi hizi zitakuruhusu kujua vizuri hali ya jenereta yako.
 
Wadau wa majenereta tunawasubiri mtumwagie mautaalam.
 
mvumilivu Wangu,

Nenda Kariakoo, mtaa wa uhuru, karibu na ile petrol station ya total, ilo dukaliko opp na na icho kituo cha mafuta.

Kwa laki 4, unapata generator nzuri kabisa.
 
nenda kariakoo, mtaa wa uhuru, karibu na ile petrol station ya total,ilo dukaliko opp na na icho kituo cha mafuta.

Kwa laki 4, unapata generator nzuri kabisa.

Asante kaka yangu, nitakwenda hapo kariakoo karibu na petrol station ya total. Asante na ubarikiwe.
 
Naomba mnaotumia generators mtufunze ni capacity gani inahitajika kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya nyumbani, yani kuwasha freezer, taa za vyumbani, tv na computer.
 
Achana na zi-jenerator ndogondogo zitachoma na kuunguza vifaa vyako. Jenereta nzuri kwa maana hiyo hazipatikani Tanzania. wachuuzi wetu wanaleta bidhaa duni kutokana na uwezo wetu wa kutonunua vifaa ghali na vyenye ubora.

Ungelikuwa na kama $2000 ningelikushauri utumie solar na inverter ya 5000watts ingelitosha kwa usalama wa vifaa vyako na kubana matumizi. Panel za solar zinadumu zaidi ya miaka ishirini na tano na betri hudumu si chini ya miaka mitano. hesabu za LUKU na MAFUTA YA GENERATOR sidhani kama zitakuwa na uwiano na za solar.

Matumizi ya generator ni makubwa mno kwani ikiwa inabana matumizi ya mafuta kama wanavyosema utatumia kwa uchache lita tano kwa masaa kumi na nane. Aidha, unaweza kujibana na kutumia lita 2-3 kwa siku kutokana na uchache wa vifaa utakavyotumia. lakini ukiongeza vifaa ndipo balaa la mafuta linapokuja!

Ila jitahidi upate jenereta za Honda au YANMAR 3500 zinaweza kukufaa. (kuwa makini katika kusoma majina -uchakachaji ni mwingi unaweza kukuta inasomwa KHONDA au YMYMAR)
 
Achana na zi-jenerator ndogondogo zitachoma na kuunguza vifaa vyako. jenereta nzuri kwa maana hiyo hazipatikani Tanzania. wachuuzi wetu wanaleta bidhaa duni kutokana na uwezo wetu wa kutonunua vifaa ghali na vyenye ubora.

Ungelikuwa na kama $2000 ningelikushauri utumie solar na inverter ya 5000watts ingelitosha kwa usalama wa vifaa vyako na kubana matumizi. Panel za solar zinadumu zaidi ya miaka ishirini na tano na betri hudumu si chini ya miaka mitano. hesabu za LUKU na MAFUTA YA GENERATOR sidhani kama zitakuwa na uwiano na za solar...

Ni kweli umeme wa solar (Solar Energy Businesses in Tanzania). (Rex Investment Limited - Tanzania's leading solar energy contractor - Rex donates solar system to Kerege orphanage) ni bora kuliko jenereta ya laki 4.

Tatizo ni ku raise io hela (2.5m-3m). Kwa wengine sio rahisi, pale wanapoamua na kuwa na uhakika wa kupata hizo hela.

Jenereta ni nzuri na itakusaidia kwa wakati wa emmergency, hasa kama ukiiwasha kwa 3 au 4 tu. kwa siku.
 
Je, vipi substitute ya inverter? Nimeambiwa kuna za mpaka laki 2 kisha nikaongezea laki 1.2 ya betri, ni kweli?
Zinadumu na chaji kwa muda siku ngapi? Durability yake ikoje? wapi nitapata nzuri? Tusaidiane tu jaman kukabiliana na huu mgao wa Giza-nesco!!
 
Je vipi substitute ya inverter? Nimeambiwa kuna za mpaka laki 2 kisha nikaongezea laki 1.2 ya betri, ni kweli? Zinadumu na chaji kwa muda siku ngapi? Durability yake ikoje? wapi nitapata nzuri? Tusaidiane tu jaman kukabiliana na huu mgao wa Giza-nesco!!

Inventer nazo sio mbaya, hata zile za kutengeneza, ila kama ujuavyo, zinaweza kudumu na zinaweza kubuma.

Jirani hapa bunju b anatumia io, anachofanya ni kuichaji betri ya inventer mara 2 au 1 kwa wiki.

Umeme wake sio mkali ila kuondoa giza kwa kuwasha taa tu utaweza, na itategemea inakupa watts ngapi ili uweze hata kuwasha ka feni au tv.

Wapi utapata hapo kasheshe, maana mafundi wako kibao, na siku kuna kautapeli tapeli kwenye swala hilo, ndio, kama mafundi seremala, utazungushwa na kupigwa tarehe, mpaka uipate ujue na urafiki na hata hamu ya io inventer itakuisha!

Uliza uliza kwa ndugu na marafiki, za dukani sina uhakika kwa hela yako.

Durability, hakuna guarantee mkuu, swala ni kwenda na reputation ya huyo fundi.
 
Inventer nazo sio mbaya, hata zile za kutengeneza, ila kama ujuavyo, zinaweza kudumu na zinaweza kubuma.Jirani hapa bunju b anatumia io, anachofanya ni kuichaji betri ya inventer mara 2 au 1 kwa wiki.Umeme wake sio mkali ila kuondoa giza kwa kuwasha taa tu utaweza, na itategemea inakupa watts ngapi ili uweze hata kuwasha ka feni au tv...

Ahsante sana mkuu, ukweli umejitahidi kuelezea na nimekupata vizuri,Ila ukweli pia umezidi kunichanganya sana. Maana hata naogopa tena kwenda kununua.Kwa maelezo yako zinahitaji imani zaidi kuliko uhalisia wake.Yaani ukimbiwa ni ya watt 500 inabidi uamin tu.
 
Kaulizieni Tanesco maana wanawakatia umeme ili wakubwa wauze majenereta. Kwahiyo watakuwa na data za kutosha sababu wana wataalam pia.
 
Naomba mnaotumia generators mtufunze ni capacity gani inahitajika kwa ajili ya matumizi ya kawaida ya nyumbani, yani kuwasha freezer, taa za vyumbani, tv na computer.

Hapo umenena mkuu, ni muhimu wataalamu watufahamishe capacity gani inatosha kwa mfano wa vitu nilivyosema?
 
Habari zenu wana jamii,

Nina kashamba kangu maeneo ya rufiji lakini kuna shida sana ya maji hivyo kulima bustani na ufugaji imekuwa ngumu, nilifanya utafiti wa ili nichimbe kisima ikaonekana maji yanaweza kupatikana mita 100 kwenda chini, lakwanza ningeomba mtu yoyote anayefahamu makampuni yanayochimba visima kwa gharama nafuu lakini kazi ya uhakika.

Swala la pili ningeomba mwenye kufahamu sehemu nitakapoweza kupata generator za kv 6 mpaka 10 mpya na zilizotumika kwa bei nafuu.

Tatu ningeomba kufahamishwa kati ya simtank, polytank na kiboko lipi bora zaidi, na wapi nitawaza kupata rank la lit 3000 na 5000 kwa bei poa?

Naombeni msaada wenu.
 
Tatu ningeomba kufahamishwa kati ya simtank, polytank na kiboko lipi bora zaidi, na wapi nitawaza kupata rank la lit 3000 na 5000 kwa bei poa?..

Naombeni msaada wenu.

Kwa uimara ni Simtank, likifuatiwa na Kiboko.
 
Mkuu, nakushauri ujenge elevated concrete water tank (storage/reservoir tank). Hii itakusaidia kujaza maji bila kutumia pump na maji yatatiririka kwenye bomba bila kutumia pump. Pia, hili ni durable kuliko Polytank kama Simtank, na pia haliwezi kuibiwa.
 
Asante kwa ushauri wako. Je, unaweza kuwafahamu watu ambao wataweza kunijengea hilo tank?
 
U can visit me physically for a free consultation. We are available at Nkrumah Street, next to Total Petroleum HQ. Company name SNTECH.
 
u can visit me physically for a free consultation. We are available at Nkrumah street, next to Total Petroleum HQ. Company name SNTECH

Popobaawa! Dah

Back to the main topic, Simtank imetulia zaidi lkn bei yake pia iko juu ukilinganisha na nyingine.
 
Okay nitakutafuta wiki hii, mida ya mchana, but sidhani kama nikifika hapo nikiuliza jina la popobawa utapatikana. Je, unaweza kunipa mawasiliano yako?
 
Back
Top Bottom