Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Nenda duka la Boss ambaye ndio wakala wengine hununua kwake. Liko Mtaa wa wa Uhuru stand ya Kongo kama waenda Posta liko mkono wa kulia. Usiulizie ngozi nyeusi wengi pale madalali watakuongezea 100000 nzima.
Ingia ndani ongea na wale Waarabu upande wa kulia watakupa maelezo mazuri

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo duka nalifahamu nilienda mkuu kweli wana majenereta mazuri/mengi.size tofauti ila kilichoniogopesha ni kitu kimoja TU yule mdada wa kiarabu akawa ananiambiia eti majenereta warranty miezi mitatu, makubwa warranty miezi 6.

hamna jenereta lililofikisha warranty hata mwaka,nikawaitikia kisha nikatoka huyooo sikurudi nyuma,Kwa kweli mimi bado mshamba ukiniuzia kitu uniambie hakina warranty au uknipa warranty Fupi

nahisi unaniuzia BOMU,bora hata unidanganye warranty 5 yrs hata likiharbika ntahisi n uzembe wangu,ila ukinipa warrant fupi hata nikiona kasoro ndogo tayari naanza kusema moyoni "ndio mana walinipa warranty fupi"
 
Yule dada alikua haoni shda kuniambia live,hilo generator halina warranty,ila likiharibika tunakuruhusu urudishe fundi wetu atakagua,nikaona hizi biashara za kubet hizi.

Root
 
Kuwa makini mkuu, kuna Honda za kichina nyingi sana kkoo. Siku hizi kkoo products karibu nyingi ni za kichina tu sijui Boss, Kingmax, Green, n.k ni wale wale tu.

Sina utaalamu sana wa jenereta, ila kwa matumizi uliyosema ya kusaidia umeme usipokuwepo yatakufaa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo nijiandae tu kwenda kupambana na mchina mkuu maana sina namna J3 ndio nataka nikafate ili X mass wateja wapete tu,Tanesco wasije nikata wenge bure wakaniharibia sikukuuu.

Hivi vitu hivi,wataalamu nikiwaita mje mnisaidie mnaka kimya,hamfanyi vizuri mtajiskiaje nikienda bambikizwa lakini?
 
Umeme wa solar si angavu kama umeme mwingine acha ubishi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sio swala la ubishi hapa jua tu fika umeme ni umeme na tunaupima kwa kiwango cha power ivo ukisema solar sio angavu kama generator nakushangaa sana hujasikia kenya juzi wa add up Megawatt kadhaa kwenye national Grid yao kwa kutumia Solar source? Nakupa majibu haya kama Mtaalamu katika Fani hii ya Electrical engineering.
 
Nahitaji Generator kwa kweli Tanesco wanaweza kufanya ukahisi biashara ngumu mwisho ukafunga,naomba kabla sijaenda dukani mnisaidie kujua brand ipi ni nzuri na kwanini ni nzuri tofauti na nyingine.

Nahitaji magenerator mawili yenye uwezo tofauti la kwanza liweze kuwasha vifaa vifuatavyo:

.FLAT TV nch 32 nne,
.Computer Desktop Complete 3,
.Fridge 1 (deep Freezer)

Generator la pili liwashe vifaa vifuatavyo:

.Computer Desktop mbili (cpu+monitor)x2
.Taa watt 75 zipo tano

Naomba kusaidiwa kujua generator gani zuri na bora na lisiwe linafyonza mafuta kama maji,kama kuna ujanja wa kufanya ili yasiwe yanakula mafuta naombeni pia mnisaidie kujua cha kufanya.

USHAURI UJIKITE KWENYE:
1.BEI
2.UBORA
3.MAUJANJA

Karibuni nasubiri msaada wenu na uchambuzi wenu.

Nimalizie kwa hili swali: 1 litre inaweza kwenda masaa mangapi? Kwa Genarator A na Generator B ikiwa vyombo/vifaa vipo ON muda wote.

View attachment 1298030
Achana na kuangalia majina ya majenereta. Kwanza unatakiwa ujue mahitaji yako ni WATTS ngapi?

Mfano duka la kwanza una vifaa vyenye jumla ya watts ngapi?

Duka la pili je?

Ukisha jua hii ndio itakusaidia kujua unahitaji generator yenye uwezo gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na kuangalia majina ya majenereta. Kwanza unatakiwa ujue mahitaji yako ni WATTS ngapi?

Mfano duka la kwanza una vifaa vyenye jumla ya watts ngapi?

Duka la pili je?

Ukisha jua hii ndio itakusaidia kujua unahitaji generator yenye uwezo gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upande huo hamna tatizo mkuu,nataka sasa nikifata Hilo Generator li dumu,nmeshajua Nahitaji Generator la ukubwa gani ila bado sijajua Generator gani lina roho ya PAKA nadhani unaelewa mkuu.

Shida sio kujua unataka kitu gani,shida ni kujua hicho kitu unachoenda nunua kimetoka kwa mtengenezaji wa hivyo vitu au ni kampuni tu inayounga unga nyaya na kutoa Bidhaa yao waiite Generator.

Ushauri ninaotafuta sio size ya Generator gani linanifaa hilo sina tatzo nalo,hapa nahitaji manufacture m'bobezi wa bidhaa kama Generator,kisha nijue product zake ni zipi.
 
Upande huo hamna tatizo mkuu,nataka sasa nikifata Hilo Generator li dumu,nmeshajua Nahitaji Generator la ukubwa gani ila bado sijajua Generator gani lina roho ya PAKA nadhani unaelewa mkuu.

shida sio kujua unataka kitu gani,shida ni kujua hicho kitu unachoenda nunua kimetoka kwa mtengenezaji wa hivyo vitu au ni kampuni tu inayounga unga nyaya na kutoa Bidhaa yao waiite Generator.

Ushauri ninaotafuta sio size ya Generator gani linanifaa hilo sina tatzo nalo,hapa nahitaji manufacture m'bobezi wa bidhaa kama Generator,kisha nijue product zake ni zipi.
Sina jina la manufacturer ila Incase ukikosa unachotaka hapa...fana hivi...

1. Nunua jenereta lenye waranti na isiwe chini ya mwaka mmoja.

2. Nunua kwenye maduka ya wahindi. Japo hawana bageini na bei zimesimama ila in most cases bidhaa zao zina ubora mzuri. Kwa kifupi nunua kwa supplier unaye muamini.

3. Ukisha nunua hakikisha unapitia operation manual na uwe unalifanya matengenezo/maintance timely! sio unangoja likiharibika ndio unaenda kubadilisha oil! utakua mjinga!

4. Likiharibika (na kama warranty yake imeisha) sio unapeleka likafanyiwe matengenezo na fundi wa kichochoroni, peleka kwa mafundi wanaojielewa. Kama lipo kwenye warrant basi omba ushauri kwa aliyekuuzia.

Yangu ni hayo.
 
Kesho Naenda ntafanya hivi ulichonishauri ni kizuri na cha muhimu sana,Asante sana kwa Muda wako incharge,acha niendelee kusikiliza mawili matatu kwa wengine pia,pakikucha niende huko kwa wazeee wasio jua customer care.

wananiboaga sema sina ujanja nawarudiaga hvyo hvyo ntafanyaje sasa,na lugha zao za kibabe hutaki hawakubembelezi, Wahindi hawa sijui wakoje yani.
 
Kesho Naenda ntafanya hivi ulichonishauri ni kizuri na cha muhimu sana,Asante sana kwa Muda wako incharge,acha niendelee kusikiliza mawili matatu kwa wengine pia,pakikucha niende huko kwa wazeee wasio jua customer care.

wananiboaga sema sina ujanja nawarudiaga hvyo hvyo ntafanyaje sasa,na lugha zao za kibabe hutaki hawakubembelezi,wahindi hawa sijui wakoje yani.
All the best mkuu!
 
Maduka ya wahindi mengi yapo mtaa wa Lumumba ule.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu vip umefanikisha kupata generator
Kwahiyo nijiandae tu kwenda kupambana na mchina mkuu maana sina namna J3 ndio nataka nikafate ili X mass wateja wapete tu,Tanesco wasije nikata wenge bure wakaniharibia sikukuuu.

Hivi vitu hivi,wataalamu nikiwaita mje mnisaidie mnaka kimya,hamfanyi vizuri mtajiskiaje nikienda bambikizwa lakini?
Ulisema J3.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm natumia generator ndogo sina ujuzi sana lakini kabla sijanunua nlifanya survey wengi wakanambia kampuni ya Boss is the best of all kwa kigezo kimoja ikitokea imekuwa overused posibility ya waya zake kuungua ni ndogo coz wanatumia waya wa copper ukilinganisha na wengine pia ulaji wake wa mafuta ni mdogo ya kwangu inasukuma photocopy mashine kubwa 2, computer 5, lamination, printers 4, feni 2, TV chogo, pasport printer, n.k lita moja inatumia masaa 6 nimesahau HP ngapi ila nilinunua kama laki 6 kkoo
Nipo interested. Vip stablizer inahitajika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom