Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Honda ni nzuri sana mkuu? naona haya mr uk,sjui boss nk nk

ubora wa honda ukoje mkuu? 2kv generator linaweza kuwa sh.ngapi?
Uzuri wa honda inakuwa ni japan made lakini hayo mengine ni ya kichina na kama nilivyosema hapo awali umadhubuti wake ni wa kutilia mashaka. Kwa bei ntakuwa muongo kukujulisha lakini kama upo Dar mitaa ya samora kwa juu pale utapata.
 
Uzuri wa honda inakuwa ni japan made lakini hayo mengine ni ya kichina na kama nilivyosema hapo awali umadhubuti wake ni wa kutilia mashaka. Kwa bei ntakuwa muongo kukujulisha lakini kama upo dar mitaa ya samora kwa juu pale utapata.
Asante sana mkuu kwa ushauri,atleast nina brand 1 tayari ninayoweza anza iulizia kwa kujiamini dukani.
 
Nahitaji Generator kwa kweli Tanesco wanaweza kufanya ukahisi biashara ngumu mwisho ukafunga,naomba kabla sijaenda dukani mnisaidie kujua brand ipi ni nzuri na kwanini ni nzuri tofauti na nyingine.

Nahitaji magenerator mawili yenye uwezo tofauti la kwanza liweze kuwasha vifaa vifuatavyo:

.FLAT TV nch 32 nne,
.Computer Desktop Complete 3,
.Fridge 1 (deep Freezer)

Generator la pili liwashe vifaa vifuatavyo:

.Computer Desktop mbili (cpu+monitor)x2
.Taa watt 75 zipo tano

Naomba kusaidiwa kujua generator gani zuri na bora na lisiwe linafyonza mafuta kama maji,kama kuna ujanja wa kufanya ili yasiwe yanakula mafuta naombeni pia mnisaidie kujua cha kufanya.

USHAURI UJIKITE KWENYE:
1.BEI
2.UBORA
3.MAUJANJA

Karibuni nasubiri msaada wenu na uchambuzi wenu.

Nimalizie kwa hili swali: 1 litre inaweza kwenda masaa mangapi? Kwa Genarator A na Generator B ikiwa vyombo/vifaa vipo ON muda wote.

View attachment 1298030
Mimi natumia generator ndogo sina ujuzi sana lakini kabla sijanunua nlifanya survey wengi wakanambia kampuni ya Boss is the best of all kwa kigezo kimoja ikitokea imekuwa overused posibility ya waya zake kuungua ni ndogo coz wanatumia waya wa copper ukilinganisha na wengine pia ulaji wake wa mafuta ni mdogo ya kwangu inasukuma photocopy mashine kubwa 2, computer 5, lamination, printers 4, feni 2, TV chogo, pasport printer, n.k lita moja inatumia masaa 6 nimesahau HP ngapi ila nilinunua kama laki 6 Kariakoo.
 
mm natumia generator ndogo sina ujuzi sana lakini kabla sijanunua nlifanya survey wengi wakanambia kampuni ya Boss is the best of all kwa kigezo kimoja ikitokea imekuwa overused posibility ya waya zake kuungua ni ndogo coz wanatumia waya wa copper ukilinganisha na wengine pia ulaji wake wa mafuta ni mdogo ya kwangu inasukuma photocopy mashine kubwa 2, computer 5, lamination, printers 4, feni 2, TV chogo, pasport printer, n.k lita moja inatumia masaa 6 nimesahau HP ngapi ila nilinunua kama laki 6 kkoo
Samahani mkuu, naomba picha ya hilo generator.
 
Mim natumia generator ndogo sina ujuzi sana lakini kabla sijanunua nlifanya survey wengi wakanambia kampuni ya Boss is the best of all kwa kigezo kimoja ikitokea imekuwa overused posibility ya waya zake kuungua ni ndogo coz wanatumia waya wa copper ukilinganisha na wengine pia ulaji wake wa mafuta ni mdogo ya kwangu inasukuma photocopy mashine kubwa 2, computer 5, lamination, printers 4, feni 2, TV chogo, pasport printer, n.k lita moja inatumia masaa 6 nimesahau HP ngapi ila nilinunua kama laki 6 Kariakoo.
Kv ngapi hilo Generator mkuu?

Nilishawahi sikia mtu ananiambia Generator lenye full copper ndio zuri na wewe hapa unaniambia Boss ni Copper nadhani kuna ka ukweli japo alienipa ushauri. Aliniambia BOSS sio kabisa, sasa nashangaa hapa kukutana na mtumiaji wa Boss akilisifia.

1liter kwa 6 hours Safi sana ulaj uko vizuri mno.
 
Kv ngapi hilo Generator mkuu?

nilishawahi sikia mtu ananiambia Generator lenye full copper ndio zuri

nawewe hapa unaniambia Boss ni Copper nadhani kuna ka ukweli japo alienipa ushauri

aliniambia BOSS sio kabisa,sasa nashangaa hapa kukutana na mtumiaji wa Boss akilisifia.

1liter kwa 6 hours Safi sana ulaj uko vizuri mno.
Natamani atupe maelezo zaidi Kama picha au H.P

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri wa honda inakuwa ni japan made lakini hayo mengine ni ya kichina na kama nilivyosema hapo awali umadhubuti wake ni wa kutilia mashaka. Kwa bei ntakuwa muongo kukujulisha lakini kama upo dar mitaa ya samora kwa juu pale utapata.
Kuwa makini mkuu, kuna Honda za kichina nyingi sana kkoo. Siku hizi kkoo products karibu nyingi ni za kichina tu sijui Boss, Kingmax, Green, n.k ni wale wale tu.

Sina utaalamu sana wa jenereta, ila kwa matumizi uliyosema ya kusaidia umeme usipokuwepo yatakufaa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Generator ni Pasua kichwa japo initial cost yake ni ndogo ila running cost ni kubwa mkuu, Nakushauri uende upande wa Solar system japo initial cost ni kubwa ila tu running cost ni kama free kabisa sana sana utachange batteries after certain time ukipata design nzuri ya hio system ya solar utaenjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
Solar haina mwanga kama umeme wa jenereta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda duka la Boss ambaye ndio wakala wengine hununua kwake. Liko Mtaa wa wa Uhuru stand ya Kongo kama waenda Posta liko mkono wa kulia. Usiulizie ngozi nyeusi wengi pale madalali watakuongezea 100000 nzima. Ingia ndani ongea na wale Waarabu upande wa kulia watakupa maelezo mazuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kv ngapi hilo Generator mkuu?
alimaanisha kW sio kV mkuu, size yako chukua ya

Rated Power: 2.0 kW, Rated Voltage: 220 - 230V

Za Kichina mpaka Laki 3 Unapata Mpya ( kwa rating izo juu apo )

kwenye jenereta mle ndani kuna , waya zinazovingirishwa na kuunda 'coil' , izi waya inabidi ziwe Pure Copper,

Jenereta za bei rahisi nyingi ( hasa za kichina wanachanganya na chuma ie: copper + chuma ) ndio maana hazikai, huungua ukizidisha mzigo

Je, unaziweza za kijerumani nikupe link?
 
alimaanisha kW sio kV mkuu, size yako chukua ya

Rated Power: 2.0 kW, Rated Voltage: 220 - 230V

Za kichina mpaka Laki 3 Unapata Mpya ( kwa rating izo juu apo )

kwenye jenereta mle ndani kuna , waya zinazovingirishwa na kuunda 'coil' , izi waya inabidi ziwe Pure Copper,

Jenereta za bei rahisi nyingi ( hasa za kichina wanachanganya na chuma ie: copper + chuma ) ndio maana hazikai, huungua ukizidisha mzigo

Je unaziweza za kijerumani nikupe link ?
Kwanza Asante kwa ushauri mkuu.

Pili nipe link kama unaweza nitafurahi zaidi mkuu
 
Asante kwa kunirekebisha dronedrake haya mambo siyajui mimi,basi mi nkajua kaandika KV

kweli nasikia wanasema yenye full copper ni mazuri sana,nimepita huko insta nimeona hili MR UK

wameliandika kabisa hapo 100% FULL COPPER sasa sijui ndio kopa kweli au kopa zile za ❤

Maana wachina hawa simu wanakuandikia label storage 16 GB ndani unakuta 8GB wamenishnda kbsa

Mfano wa hilo MR UK ni hili chini
copper.png
 
Umeme ni ulele haijalishi umezalishwa kwa chanzo kipi cha nishati mkuu. Investment ya solar ni kubwa na inataka designing ya hali ya juu
Kweli mkuu na ni gharama haswaaa,initial cost zake tu unanunua hata boxer mbili au tatu kwa kazi zangu.
 
Back
Top Bottom