Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

Tafuta Kipor zipo vizuri sana mkuu, kuanzia fuel consumption mpaka maintanance.
 
Njoo nikuzie jenereta langu Aina ya Honda kv 5. Bei 800,000/

Ova
 
Tafta jenereta kampun ya BOSS ni kubwa output yake ni kv2.8 angali hizi ndogo zake ni 2.5.
Haina kelele. Ni ya ufunguo Ina matairi. Pia haichemki haraka.

Au

Funga sola. Itakugarimu mwanzoni tu. Baada ya hapo itakaa hata miaka 2 ndo ubadili betri.
 
Jamani wana jamvi mi nina steshenari naomba mnishaur jeneleta gani na linauzwaje ili niweze kuendesha pale umeme unapokata.
 
Nahitaji Generator kwa kweli Tanesco wanaweza kufanya ukahisi biashara ngumu mwisho ukafunga, naomba kabla sijaenda dukani mnisaidie kujua brand ipi ni nzuri na kwanini ni nzuri tofauti na nyingine.

Nahitaji magenerator mawili yenye uwezo tofauti la kwanza liweze kuwasha vifaa vifuatavyo:

.FLAT TV nch 32 nne,
.Computer Desktop Complete 3,
.Fridge 1 (deep Freezer)

Generator la pili liwashe vifaa vifuatavyo:
.Computer Desktop mbili (cpu+monitor)x2
.Taa watt 75 zipo tano

Naomba kusaidiwa kujua generator gani zuri na bora na lisiwe linafyonza mafuta kama maji,kama kuna ujanja wa kufanya ili yasiwe yanakula mafuta naombeni pia mnisaidie kujua cha kufanya.

USHAURI UJIKITE KWENYE:
1. BEI
2. UBORA
3. MAUJANJA

Karibuni nasubiri msaada wenu na uchambuzi wenu.

Nimalizie kwa hili swali: 1 litre inaweza kwenda masaa mangapi? Kwa Genarator A na Generator B ikiwa vyombo/vifaa vipo ON muda wote.

Aico-5kva.jpg


UPDATES

Mkuu vip umefanikisha kupata generator Ulisema J3..

Sent using Jamii Forums mobile app

YES mkuu Active Brain nimefanikisha nimechukua yote mawili ila sijayanunulia Kariakoo nimeyachukulia POSTA

Generator la 1
Kampuni: ZEC 3.1KW
Bei : 850,000

Generator la 2
Kampuni : Kingmax 2.1KW
Bei : 450,000

Nimeamua Kuchukua kampuni hizi mbili tofauti na makusudi kabisa ili nione kama lakunikuta linikute (nijifunze),next time nijue kitu kuhusu haya makitu Maana ki ukweli sijawahi tumia haya mavitu ndio nimeanza.

WARRANTY: Generator zote mbili nimepewa Miaka Miwili (2 YRS)

Nawashukuru wote mlioweza kunipa mawili matatu kuhusu hii kitu,nimepokea ushauri wenu na leo niliutumia kuweza kujifanya nayajulia haya mavitu,mngeweza kuniona wakati nanunua mngeweza hisi NAJUAAAAA kumbe hamna lolote yani.

Asanteni na Mungu awabariki mno,Umeme Upo ila nimezima UMEME nimetia Genertor zote liter mbili mbili nione yatanifikisha ule Muda wangu ninao AGA humu ndani USIKU MWEMA, Kuhusu ubora sijui ndio mapyaa so tuombe uzima tukutane mwakani december ntakua na la kusema kuhusu haya makitu.

M'BARIKIWE

"thread closed"
 
Generator ni Pasua kichwa japo initial cost yake ni ndogo ila running cost ni kubwa mkuu, Nakushauri uende upande wa Solar system japo initial cost ni kubwa ila tu running cost ni kama free kabisa sana sana utachange batteries after certain time ukipata design nzuri ya hio system ya solar utaenjoy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Generator ni Pasua kichwa japo initial cost yake ni ndogo ila running cost ni kubwa mkuu, Nakushauri uende upande wa Solar system japo initial cost ni kubwa ila tu running cost ni kama free kabisa sana sana utachange batteries after certain time ukipata design nzuri ya hio system ya solar utaenjoy

Sent using Jamii Forums mobile app
Shiida mkuu ofisi ingekua moja ningeweza sema niwaze solar lakini ofisi mbili tofauti itabidi nijipange sana,nadhan kwa muda huu nianze na generator Mkuu as long as linatumika kibiashara Hata bei ya huduma wakat wa Generator nitaongeza.

so hizi running cost za generator tutaparangana na wateja kuzilipia kwenye bei ya huduma ninayo wapa,Tafadhali nishauri Generator zuri kwa sasa,Solar ntairudia tu ila kwa muda huu natamani Generator kwanza.
 
Nikienda kupigwa huko nikja wasimulia watani nanga mpaka akili inikae sawa ila sasa hivi kunishauri wamenipandshia vioo, sema fresh tu.
 
Kwa mahitaji hayo nakushauri upate isio chini ya 2kv. Aina kwa kweli ni mtihani sana maana hawa wavimba macho kila siku wanatoa matoleo mapya na toleo la kwanza mara nyingi linakuwa zuri kama kutest soko. Vinginevyo jikaze uchukue Honda za kijapani.
ndio option niliyobakiwa nayo,msaada JF kwenye hili nmekosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mahitaji hayo nakushauri upate isio chini ya 2kv. Aina kwa kweli ni mtihani sana maana hawa wavimba macho kila siku wanatoa matoleo mapya na toleo la kwanza mara nyingi linakuwa zuri kama kutest soko. Vinginevyo jikaze uchukue Honda za kijapani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Honda ni nzuri sana mkuu? Naona haya mr uk, sjui boss nk nk ubora wa honda ukoje mkuu? 2kv generator linaweza kuwa sh ngapi?
 
Back
Top Bottom