GreenHouse
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 280
- 262
- Thread starter
- #141
[/QUOTE]Namaanisha mbegu, pamoja na dawa za organic zisizo za greenhouse. =mamaNa;8954928]Karibu sana,
Unamaanisha nini sina za outdoor?
Nafanya Drip irrigation installation kwa ukubwa wowote wa shamba, na kukuandalia matuta organically.
Pia natoa ushauri wa kitaalamu na kufanya mpango mkakati wa shamba (farm planning), mfano una shamba lako la heka kadhaa na unapenda kufanyiwa analysis ya nini ulime kwa wakati upi na kwa soko lipi...
Muda si mrefu ntaweka tovuti yetu hewani ili mjionee ni jinsi gani tunaweza kupambana na changamoto za kilimo kwa kutumia teknolojia rahisi kabisa na za bei nafuu.
Karibu sana.
Kila mbegu ya kulimwa nje ina bei yake, Je ungependa kujua bei ya mbegu gani? au unataka miche?
Dawa za organic zisizo za greenhouse za ugonjwa gani? kila zao lina jinsi yake ya kulitibu magonjwa yake.
NB: Kwa maswali nje ya greenhouse, naomba unipigie simu au PM ili tusiharibu uzi huu.
Karibu sana.