Jenga na tofali za kisasa za mwamba! Zisizo na gharama ya plasta kwa nje

Hii ndo namba yako ya whasap...???

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hongera kwa ubunifu fanya kuweka wakala huku dar .
 
poleni na majukumu naomba oda matajiri zangu alaf pigeni simu masaa 24 tukupe maelekezo vizuri namba ya simu 0682770944 au wasap 0620899604
 
nadhani hizi wanatumia sana kenya. nlkw najiuliza kwanini nyumba za kenya almost zote zina aina fulani ya kufanana sasa nmepata jawabu.
 
Tofali nch 5 bei gani?
Tofali nch 6 bei gani?
Mpk DAR
 
Kama Moshi wameambiwa 1,300 mpaka saiti basi tegemea Dar kufikia labda 2,000.
usafiri wa semi trela inayobeba tofali elf moja mia mbili ni milioni moja na laki moja boss gharama ambayo unaipigia hesabu kwa tofali zetu uangalie na uimara wake pamoja na gharama ambazo utaepuka kwakuwa hutapiga plasta
 
Ungetafuta namna uwe na wakala Mwanza kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…