Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

mshamba_hachekwi nadhani swali la kwanza Lina tuhusu wote🙏.
👉Tia neno mkuu
 
La kijana aliye graduate, jinsi anavyo weza kutumiana maarifa kuwa pesa🤔
awe na ujuzi ambao anaweza kuutumia kutatua tatizo fulani, yaani ahakikishe kwenye yale aliyosomea aweze kuyatumia kutengeneza vitu mfano kama ni mhandisi wa umeme labda awe anajua kufunga system za umeme, kurekebisha n.k, lazima atapata mishe.....
 
Sijasoma mada yote kwakuwa tumekuwa wavivu kwenye swala la kupambania ujumbe wa sauti ya maandishi! Awali ya yote umeeleweka vizuri na nimegonga likes kubwa!
Sawa kaka., Ila Kuna swali je kijana aliye graduate ana weza Vipi kutumia maarifa yake kuwa pesa🤔
 
awe na ujuzi ambao anaweza kuutumia kutatua tatizo fulani, yaani ahakikishe kwenye yale aliyosomea aweze kuyatumia kutengeneza vitu mfano kama ni mhandisi wa umeme labda awe anajua kufunga system za umeme, kurekebisha n.k, lazima atapata mishe.....
keisangora nadhani Kuna jibu hapa, though like base upande mmoja.
 
Soma Kisha utu ambie ume jifunza kipi🤔
Aisee kweli hela zinamfata mwenye hela naamini,,, zamani nilikuaga na baadhi ya marafiki wajinga na niliona nilivyokua nashuka kila siku. ndomana sikuizi marafiki wa kipuuzipuuzi siwataki kabisa bora waniambie tu naringa maana mda ule wa kukaa kupiga story na vitu kama hivyo sina...
 
Kuna kauli Ina sema "you are the product of your own environment"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…