Mbeya home
Member
- Jan 4, 2021
- 88
- 123
KituuuTunatafuta pesa, tunaweka kanuni nyingi ilu kuishi kipesa.Tunatengana na so called wsshkaji wa kijiweni, kwa vile tu tumepata pesa.Lakini tukifilisika tunarejea tena vijiweni kwa jamii ile ile ambayo tulikuwa nayo na baadae tukaimbia baada ya kupata pesa.Mwishowe kumbe tukiwa na pesa au tukiwa hatunazo tunatakiwa kuwa na UTU tu.Wakati mwingine pesa huzaa uadui tu.ANYWAY ZITAFUTENI ILA ZISIWAGEUZE WANYAMA.
Toa maoni yako, Ume jifunza kipi) au una ushauri upi kwa ma Hustlers 💪Kituuu
Niliahasoma huu muda concept ipo kichwani nitaurudia tatizo sikuhizi nikipita jukwaa hili napenda nyuzi za mtu kaachwa analia, zile za single mother yaani za kukomeshana tu 😂
Ndo kinacho kupoteza, jifunze kupigana na nguvu hasi ndani yako.Niliahasoma huu muda concept ipo kichwani nitaurudia tatizo sikuhizi nikipita jukwaa hili napenda nyuzi za mtu kaachwa analia, zile za single mother yaani za kukomeshana tu 😂
Amna mzee for Fun hili jukwaa nakujaga jiburudisha mzeeNdo kinacho kupoteza, jifunze kupigana na nguvu hasi ndani yako.
Hebu type ushauri, vijana tujifunze💪Nipo mkuu
Mkuu uloandika ni mengi ila yamejaaa mafundisho yaliyo chanya.Hebu type ushauri, vijana tujifunze💪
Hii imeenda mkuu ni uhakika "Chuma hunoa chuma"YoungPastor USI ishiee kulike, toa maoni yako.
👉Tujifunze pia💪
Tusikate tamaa tusiwe natamaa.YoungPastor haya tupe ushauri ma Hustlers
Ndio mkuu, you are the product of your environment.Hii imeenda mkuu ni uhakika "Chuma hunoa chuma"
Kila mtu ana wivu, ila tafuta njia Bora ya kutumia wivu wako ukusaidie🙏Tusikate tamaa tusiwe natamaa.