Jenga ngome yako, Usikubali kuishi kimazoea

Ile siku nilipompigia mwanangu aniazime laki moja niongezee ninunue plot akanambia hana baada ya maongezi sikukata nikamsikia akiniongelea shit ndo niaachana na marafiki wa mchongo
 
Ile siku nilipompigia mwanangu aniazime laki moja niongezee ninunue plot akanambia hana baada ya maongezi sikukata nikamsikia akiniongelea shit ndo niaachana na marafiki wa mchongo
Tatizo Sio lake ni lako mkuu, uliza kwanini??
 
Na SI lazima nguruwe, Kuna ufugaji wa layers wa mayai au kuku wa kienyeji was mayai na nyama.
Ni sahihi, mwingine anaweza kuvutiwa na biashara hii ya ufugaji lakini akashindwa kwasababu ya Uharamu kama wanavyosema lakini ni biashara nzuri sana kama ilivyo huo ufugaji wa Kuku.

Muhimu kujenga mzunguko wa fedha.

Wazungu wanasema Usiweke mayai yote kwenye kapu moja.
 
Diversification Ni kitu muhimu, kuweka juhudi katika kitu kimoja ni msala.
 
Mkuu una kuta kijana ana lipwa 400k, ila ana panda Uber, girl friend 4,
👉Ana kula mgahawa expensive, so una tegemea una toboa vipi🤒
Hayo maisha ya kuigiza ndiyo niliachaga zamani, na Mjini ukiwa na hayo mambo utaishia kuwa ombaomba tu.

Tafuta Mwanamke mmoja unatulia naye.

Kuna Wanawake unampa shilingi 150,000 anaifanyia Bajeti ya chakula hadi Mwezi unaisha.

Hapo unampa hela ya Dharula na hela ya kutunza kwenye kibubu maisha yanasonga.

Vinginevyo Mji utakushinda hakika
 
Na Mimi sinaga time nao, nauli 800, kula napika gheto, Kodi 4000, ime ishaa hiyoo😂🤣🤒
 
Mafanikio ni Siri, na Siri ndo mafanikio yenyewe.
👉Kila mtu ana wivu juu ya mafanikio ya fulani, so we una tegemea Jamaa Kama ana negative attitude angefanyaje??
👉Halafu suala la maendeleo yako, Sio lazima kila mmoja akusapoti mzeiya??
Yaani huyu alikuwa mwanangu sana nafikiri unaelewa nikisema hivyo, ni kweli unachosema mkuu lakini angeweza kusema tu sina hela na nisingemlazimisha kivyovyote, ila maneno aliyoongea mpaka nikajiuliza nimemkosea wapi anyway sio shida zangu, kuanzia hapo nikampunguza nowadays anaona aibu baada ya kumchana makavu maana plot nilinunua na kujenga nimemaliza na kuhamia juu amebaki tu anaona noma
 
Na Mimi sinaga time nao, nauli 800, kula napika gheto, Kodi 4000, ime ishaa hiyoo😂🤣🤒
Kupika mwenyewe kunasaidia sana kupunguza gharama.

Lakini pia mara baada ya muda wa kazi wa Muajiri unaweza kufanya biashara zako hata za Mtandaoni.

Unaweza kufungua Belo lako la mtumba pale Ilala ukawa unatuma Mikoani pia kwaajili ya kuongeza Vijana Mnaita MAOKOTO.

Wanasema huwezi kuwa na elfu 10 kama huna elfu 2
 
Hilo ndo Jambo la msingi, coz expectations ni Jambo baya.
👉Nime wahi kupigiwa chini job fulani ya delivery, akapewa Dem 🤒
 
Muhimu Sana mkuu💪, tuendelee kupeana maujuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…