Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Sahihi kabisa, fedha inahitaji nidhamu ya hali ya JuuYeah mkuu, kumaintain positive attitude ni muhimu Sana
👉Huwezi ukawa mtu una Kesha club, halafu una taka kuwa Kama yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa, fedha inahitaji nidhamu ya hali ya JuuYeah mkuu, kumaintain positive attitude ni muhimu Sana
👉Huwezi ukawa mtu una Kesha club, halafu una taka kuwa Kama yeye.
Mkuu una kuta kijana ana lipwa 400k, ila ana panda Uber, girl friend 4,Sahihi kabisa, fedha inahitaji nidhamu ya hali ya Juu
Tatizo Sio lake ni lako mkuu, uliza kwanini??Ile siku nilipompigia mwanangu aniazime laki moja niongezee ninunue plot akanambia hana baada ya maongezi sikukata nikamsikia akiniongelea shit ndo niaachana na marafiki wa mchongo
Ni sahihi, mwingine anaweza kuvutiwa na biashara hii ya ufugaji lakini akashindwa kwasababu ya Uharamu kama wanavyosema lakini ni biashara nzuri sana kama ilivyo huo ufugaji wa Kuku.Na SI lazima nguruwe, Kuna ufugaji wa layers wa mayai au kuku wa kienyeji was mayai na nyama.
KwaniniTatizo Sio lake ni lako mkuu, uliza kwanini??
Diversification Ni kitu muhimu, kuweka juhudi katika kitu kimoja ni msala.Ni sahihi, mwingine anaweza kuvutiwa na biashara hii ya ufugaji lakini akashindwa kwasababu ya Uharamu kama wanavyosema lakini ni biashara nzuri sana kama ilivyo huo ufugaji wa Kuku.
Muhimu kujenga mzunguko wa fedha.
Wazungu wanasema Usiweke mayai yote kwenye kapu moja.
Hayo maisha ya kuigiza ndiyo niliachaga zamani, na Mjini ukiwa na hayo mambo utaishia kuwa ombaomba tu.Mkuu una kuta kijana ana lipwa 400k, ila ana panda Uber, girl friend 4,
👉Ana kula mgahawa expensive, so una tegemea una toboa vipi🤒
Mafanikio ni Siri, na Siri ndo mafanikio yenyewe.Kwanini
Na Mimi sinaga time nao, nauli 800, kula napika gheto, Kodi 4000, ime ishaa hiyoo😂🤣🤒Hayo maisha ya kuigiza ndiyo niliachaga zamani, na Mjini ukiwa na hayo mambo utaishia kuwa ombaomba tu.
Tafuta Mwanamke mmoja unatulia naye.
Kuna Wanawake unampa shilingi 150,000 anaifanyia Bajeti ya chakula hadi Mwezi unaisha.
Hapo unampa hela ya Dharula na hela ya kutunza kwenye kibubu maisha yanasonga.
Vinginevyo Mji utakushinda hakika
Yaani huyu alikuwa mwanangu sana nafikiri unaelewa nikisema hivyo, ni kweli unachosema mkuu lakini angeweza kusema tu sina hela na nisingemlazimisha kivyovyote, ila maneno aliyoongea mpaka nikajiuliza nimemkosea wapi anyway sio shida zangu, kuanzia hapo nikampunguza nowadays anaona aibu baada ya kumchana makavu maana plot nilinunua na kujenga nimemaliza na kuhamia juu amebaki tu anaona nomaMafanikio ni Siri, na Siri ndo mafanikio yenyewe.
👉Kila mtu ana wivu juu ya mafanikio ya fulani, so we una tegemea Jamaa Kama ana negative attitude angefanyaje??
👉Halafu suala la maendeleo yako, Sio lazima kila mmoja akusapoti mzeiya??
Kupika mwenyewe kunasaidia sana kupunguza gharama.Na Mimi sinaga time nao, nauli 800, kula napika gheto, Kodi 4000, ime ishaa hiyoo😂🤣🤒
Hilo ndo Jambo la msingi, coz expectations ni Jambo baya.Yaani huyu alikuwa mwanangu sana nafikiri unaelewa nikisema hivyo, ni kweli unachosema mkuu lakini angeweza kusema tu sina hela na nisingemlazimisha kivyovyote, ila maneno aliyoongea mpaka nikajiuliza nimemkosea wapi anyway sio shida zangu, kuanzia hapo nikampunguza nowadays anaona aibu baada ya kumchana makavu maana plot nilinunua na kujenga nimemaliza na kuhamia juu amebaki tu anaona noma
Muhimu Sana mkuu💪, tuendelee kupeana maujuzi.Kupika mwenyewe kunasaidia sana kupunguza gharama.
Lakini pia mara baada ya muda wa kazi wa Muajiri unaweza kufanya biashara zako hata za Mtandaoni.
Unaweza kufungua Belo lako la mtumba pale Ilala ukawa unatuma Mikoani pia kwaajili ya kuongeza Vijana Mnaita MAOKOTO.
Wanasema huwezi kuwa na elfu 10 kama huna elfu 2
Hii ila inabidi uwe makini kidogo;
Ni kweli, ila Kuna marafiki na familia ni vichomi.Hii ila inabidi uwe makini kidogo;
Mfano kuna wale wanaojitafuta, wengine wanafanikiwa kupitia networking ya marafiki zao pia.
Nimepita nayo hii mkuu.
Hilo ni kweli, kuna baadhi ya marafiki huwa ni wabaya.Ni kweli, ila Kuna marafiki na familia ni vichomi.
👉Kutwa kukukatisha tamaa, na kuponda juhudi zako.
Safi, tuendelee kujadili.Nimepita nayo hii mkuu.