The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Hehehehee, tangu lini mkaipa kipaumbele standars tony bhn[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaliyoporomoka hayakujengwa kwa standards yoyote. Hayakufuata hata Kenyan standards.
Why did you even waste your time and energy answering that nincompoop?Hili jengo linajengwa kwa kutumia American standards. Ni jengo thabiti sana. Haliwezi kuporomoka.
Mbeya hyo huko kwa wanyakiusaKuna kapicha huwa kanazurura humu JF ya lift ya kwanza katika mkoa fulani TZ ilipozinduliwa ilikuwa ni sherehe kubwa sana hadi kulikuwa na kukata utepe. Yaani uzinduzi wa lift unakuwa big deal kwa sababu hamna lift mikoani. Sijui nani ana hio picha apost humu.
Hizi sewage za africa maji yakikatikamMpka kufika gorofa ya 44 plus nimetoka kazini nina njaa ya kufa mtu, si nitafia njiani
Maji yakikatika ndoo ya maji ataibeba Nani?Mpka kufika gorofa ya 44 plus nimetoka kazini nina njaa ya kufa mtu, si nitafia njiani
Usitudhihaki kwa ujumla wetu tafadhali, alieuliza huo upuuzi ni mtu toka ktk kabila fulani kanda ya ziwaKuna kitu inaitwa lift. Najua huko kwenu hamna lift. Msiwe washamba sana.
Tukiacha hiyo kitu inaitwa lift pia muko na kitu ingine maalumu inaitwa Alshababu hiyo ni sawa na nyongo chini ya ini mutaelewana tu.Kuna kitu inaitwa lift. Najua huko kwenu hamna lift. Msiwe washamba sana.
Deni lenu la Taifa linazidi kuongezeka tu. Yaani Kenya mnadaiwa zaidi USD 100 BilJengo hili ndilo litakuwa tallest residential tower in Africa. Yaani jengo refu zaidi ya makaazi Africa. Kuna watu watakuwa wakiishi kuanzia floor ya chini hadi ya juu kabisa ya 44.
Jengo lenyewe litafanana hivi litakapokamilika
Video ya zege kumwagwa kwenye foundation ndio hii
Kwani ni watanzania ndio watalipa hizo deni?Deni lenu la Taifa linazidi kuongezeka tu. Yaani Kenya mnadaiwa zaidi USD 100 Bil
wacha kuhamisha magoli..Deni lenu la Taifa linazidi kuongezeka tu. Yaani Kenya mnadaiwa zaidi USD 100 Bil
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwani ni watanzania ndio watalipa hizo deni?
Mbona haya yako kila mahali siku hizi. Tanzania tunayo sijui waliopo kama wataendeleza spidi ya Magufuli na kuwafunika wakenya kama alivyodhamiria kufanya.Majirani msiende kushangaa Ulaya, njooni huku mtayaona ya kule.
Mbona haya yako kila mahali siku hizi. Tanzania tunayo sijui waliopo kama wataendeleza spidi ya Magufuli na kuwafunika wakenya kama alivyodhamiria kufanya.