Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
-
- #21
Unapoambiwa mwekezaji unaelewaje? Akili za kimaskini shida sana! Wewe unataka kila kitu upewe bure?Ukisoma kichwa cha habari unaweza kudhania huyo Rostam Aziz alijenga kwa fedha za kutoka mfukoni mwake! Kumbe ni mihemko tu ya mtoa mada na hao Wanaijeria wake.
Rostam ni mnyamwezi wa Igunga TaboraLakini Rostamu bado ni Asian, hivyo hakuna cha kumtambia Mnigeria hapo, ingekuwa ni mali ya Mwafrika labda hapo ni sawa kujisifu, …
...Rostam anafanya Uteuzi???.... Uzi huu una Muelekeo huo...!!Anapongezwa kwa ujenzi kwani alijenga bure...
Kama mwekezaji, sheria inamtaka kufanya hivyo through CSR. Ni sawa na usikie GGM kule Geita imejengea wananchi shule,sio fadhila ile bali ni Sheria inawabana kufanya hivyo.Anapongezwa kwa ujenzi kwani alijenga bure...
Hizi propaganda za bongo hatari??kwani vituo vyote vipi hivyo?laiti wangejua hichockituo kipo kwa watu wwziro karibu na ubalozi wa marekani!!vKwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo...
🤣🙌Hawaijui tz hawa,ngoja siku wakikamtiwa tabora au shinyanga ndio watasimulia vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hapo dar kuna vituo ukipelekwa mbona utaelewa niliwahi kuwekwa lockup ndani kuna pikpiki tatu alafu zimepata ajali hiyo harufu ya petrol mpaka nikaomba poo...Hawaijui tz hawa,ngoja siku wakikamtiwa tabora au shinyanga ndio watasimulia vizuri.
Ukitaka Usalama Tz, fanya uharifu Dsm angalau utakaa pazuri.Hawaijui tz hawa,ngoja siku wakikamtiwa tabora au shinyanga ndio watasimulia vizuri.
Sema ulipita na pochi ya mjamzito ukakandwa na wananchi wenye hasira muda wote na ukaokolewa na polisi wakakuweka mahabusu ya wahalifu.🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo hapo dar kuna vituo ukipelekwa mbona utaelewa niliwahi kuwekwa lockup ndani kuna pikpiki tatu alafu zimepata ajali hiyo harufu ya petrol mpaka nikaomba poo...