Jengo la Kituo cha Polisi Oysterbay lawa gumzo Nigeria

...😄Kimsingi hapa Tanzania huduma za kijamii ziko vzuri kwa kiasi kikubwa kuliko Nigeria.

Sema wapinzani wa Tanzania huwa hawayaoni mazuri😄
 
Achana nae huyo anasumbuliwa na wivu na chuki za kimaskini

Hajui hata mfumo wa bima ya afya tunaotumia muanzilishi ni Rostam Aziz aliyeanzisha bima ya afya jimboni kwake mwaka 1995 jambo lililomfanya mkapa kuiga na kuingiza serikalini mfumo huo kwa Wafanyakazi
 
Serikali inabidi impe tenda Mwekezaji Rostam kujenga vituo vya namna hii nchi nzima
 
Kituo Ni kizuri lakin ni njia panda ya gerezan usiombe sasa ukaingia gerezani kama mfungwa au mahabusu hali ni mbaya mnoo usiombe usiombe
 
Labda Nigeria ya kizota dodoma
 
Ungepewa wewe kujenga tungekuta kituo kama hicho? Maana shi9da yetu wengi tunaishi kwa kuwaimbia mapambio wengine, wakati ni shidaaa tupu tunapopewa nafasi
 
Ungepewa wewe kujenga tungekuta kituo kama hicho? Maana shi9da yetu wengi tunaishi kwa kuwaimbia mapambio wengine, wakati ni shidaaa tupu tunapopewa nafasi
Kwa uadilifu wangu nisioutilia shaka, nakuhakikishia ningejenga kituo kama hicho au kizuri zaidi ya hicho

Sijapata tu nafasi! kwetu wengine pesa tumezizoea hatuna shida na njaa nazo
 
Wanaija wangejua kama yaliyomo kweli yamo wangefuta comment zao za kusifia hili geshi la polishi....
 
Wanaija wangejua kama yaliyomo kweli yamo wangefuta comment zao za kusifia hili geshi la polishi....
Kwa jinsi jeshi letu lilivyoimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao linastahili sana pongezi

Acheni kubeza tu kwenye ulinzi na usalama, vyombo vyetu ikiwemo Jeshi la Polisi vinajitahidi na kufanya vizuri sana pamoja na vichangamoto vichache ambavyo kiuhalisia lazima vitokee tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sitaki shari wanapajua? Au wanepanaona??
 
Hawajui kilijengwa kwa msaada, ngoja tuwatumie picha ya vituo vingine ndio wakomment vizuri 😀 😀 😀 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…