Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Wakalazwe tazara , Buguruni au Manzese waone [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaweza kudhani ukuta umepakwa rangi nyekundu kumbe ni kunguni wamenata ukutani.Huko mbona mbali hapo hapo Dar tu.
Rostam ni mzaliwa wa hapa tzAngalia sasa, unafananisha Botswana na Irani? Rostamu siyo Black man, take it or leave it, hata yeye analijua hilo na wala hajioni Mwafrika kama unavyofikiria, Uafrika kwake ni kupiga dili na wajinga Waafrika kutengeneza Fedha na kusepa lkn nje ya hapo kwenye madili Rostam hana business na Mwafrika!
Na wewe kama unaona mimi ni Mbaguzi jaribu kwenda Irani halafu ukafanye kama Rostamu anavyofanya hapa Afrika, gombea Ubunge, nunua viwanja na vituo vya Polisi, halafu urudi hapa na usemi wako wa Ubaguzi, labda utajua nani ni Mbaguzi!
Watanzania wengi wana wivu wa kwanini na roho za kimaskini. Watu hawapendi maendeleo yao na ya wenzao. Akitokea mtu akawatofauti nao, basi yeye ni mnyarwanda, mrundi, mhindi, mwarabu ali mradi rangi nyeusi tiiii iwe ndo yenyekujua na kupanga kila kitu.Achana nae huyo anasumbuliwa na wivu na chuki za kimaskini
Hajui hata mfumo wa bima ya afya tunaotumia muanzilishi ni Rostam Aziz aliyeanzisha bima ya afya jimboni kwake mwaka 1995 jambo lililomfanya mkapa kuiga na kuingiza serikalini mfumo huo kwa Wafanyakazi
Kazi ya Magu mchapa kaziKwenye pages mbalimbali za social media nchini Nigeria ziliporushwa video clips za msanii Kiss Daniel akikamatwa na kuingizwa kituo cha Polisi Oysterbay mjadala umekuwa si msanii huyo kukamatwa bali uzuri wa Kituo cha Polisi Oysterbay ambapo Wa Nigeria wengi walionekana kuusifia uzuri wa kituo hicho wakifananisha na vituo vyao vya Nigeria.
Ikumbukwe kituo hiki kilijengwa na kampuni ya mwekezaji mahiri Rostam Aziz. Napenda kumpongeza sana Rostam na naomba azidi kujenga vituo vingi zaidi vya namna hii.
Kwa Jeshi la Polisi naoma na nyie huo uwe mfano bora wa vituo vyenu mnavyopaswa kuvijenga kuanzia sasa.
View attachment 2319641View attachment 2319642View attachment 2319644
Sasa mkandarasi kujenga si ndio kazi yake? Huna akiliUnapoambiwa mwekezaji unaelewaje? Akili za kimaskini shida sana! Wewe unataka kila kitu upewe bure?
09 August 2022
Logos, Nigeria
Tanzania police station neat past nija.
If na necklace and clothes.make.kisd Daniel not to perform, that means he took overdose