Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Unaongelea mahakama ya wilaya? Mahakama zote zinazojengwa kwa huo mradi ramani ni moja na zote ni za kisasa, ukiona Rais sikuile kumsifia Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi kwa transformation kubwa wanayoifanya usifikiri ni mchezo, kama unavyoona hospitals zikijengwa na Mahakama zinamea vilevile kote nchini, google hata ya Bagamoyo uione, pia hata ya Kigamboni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka picha ya hizo nyingine sio maneno tuu
 
Mdude,maendeleo hayana chama,jengo kama Hilo la mahakama huko chato,lipo pia Kigamboni ambapo kuna mahakama ya mwanzo na ya wilaya,majengo hayo Ni mpango mkakati wa mahakama kujiendesha kidijitali,mpango huo upo kwenye majaribio na unahusisha wilaya zilizovhaguliwa tu,yaani kila kitu ki- ICT,usipinge bila utafiti

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan jengo lipo kwa majaribio au ??
 
Back
Top Bottom