Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Kata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi
Labda hiyo mahabusu ni kwa ajili ya waheshimiwa viongozi!!
 
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.

Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.

Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter

View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Unaongelea mahakama ya wilaya? Mahakama zote zinazojengwa kwa huo mradi ramani ni moja na zote ni za kisasa, ukiona Rais sikuile kumsifia Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi kwa transformation kubwa wanayoifanya usifikiri ni mchezo, kama unavyoona hospitals zikijengwa na Mahakama zinamea vilevile kote nchini, google hata ya Bagamoyo uione, pia hata ya Kigamboni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyerere alikuwa mshamba mshamba.

Wewe ukiwa Raisi kwa sasa.... ni mfano lakini😁 ina maana huwezi kijenga nyumba y kisasa zaidi eti kisa Nyerere jana mjengo wa maana kule Kwao?
Kiongozi hatakiwi kuonesha upendeleo lakini.... Mkapa???? Mwinyi???
 
Unaongelea mahakama ya wilaya? Mahakama zote zinazojengwa kwa huo mradi ramani ni moja na zote ni za kisasa, ukiona Rais sikuile kumsifia Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi kwa transformation kubwa wanayoifanya usifikiri ni mchezo, kama unavyoona hospitals zikijengwa na Mahakama zinamea vilevile kote nchini, google hata ya bagamoyo uione, pia hata ya Kigamboni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama zote zitakuwa hivyo Sawa.....

Lakini kwanini tusianzie Nachingwea huko au Kiteto?
 
Kiongozi hatakiwi kuonesha upendeleo lakini.... Mkapa???? Mwinyi???
Upendeleo upi aloonesha? hayo ndo majengo yanayojengwa wilaya zote ambazo hakukuwa na jengo la Mahakama ya wilaya, angalia majengo ya Mahakama za Kigamboni na Bagamoyo, kule kampendelea nani? huo ni mradi maalumu na nchi nzima majengo yanayojengwa ni ya kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chattle au Chattow wamefika Museveni na Kenyatta sijui kuzingumza nini manake hadi leo mrejesho hakuna.
Walifika kumpongeza kwa ujenzi wa majengo ya kisasa ya Mahakama kuu kanda ya Kigoma, kawapendelea sana kule.
FC4A0811.JPG
FC4A0811.JPG
FC4A0855.JPG
FC4A0911.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama zote zitakuwa hivyo Sawa.....

Lakini kwanini tusianzie Nachingwea huko au Kiteto?
Kote ambako kunajengwa Mahakama za wilaya yanajengwa majengo ya kisasa kabisa.
 
Kata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi
Ludewa, hiyo ni Mahakama ya mwanzo, kote ambako kunajengwa Mahakama za wilaya yanajengwa majengo ya kisasa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi....isiwe chattle tu...Halafu iambiwe hela imeelekezwa kwingine
 
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.

Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.

Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter

View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Mbna mahakama ya kawaida sana.
Mi sioni shida yyte ile maana ni jengo la miaka ya 2010s..
Sasa sijui rr3 ulitaka wajenge la kizamani kama la miaka ya 90?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha ajenge vizuri labda anafuata ushauri wa CHIDI BENZ
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.

Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.

Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter

View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishafika ukaona majimbo ya mikoa kazikazini yaliyokuwa yakiongozwa na akina Daniel Yona, Mramba? Hao ndo walianza upendeleo. Magufuli anachofanya ni kubalance tu.
 
Hatimaye Jengo Leo linafunguliwa na yanajengwa nchi nzima
 
Kutoka rohoni nikiwa rais kitu cha kwanza ni kuyabomoa yote ambayo yamefanyika kwa upendeleo!
Na cha kusikitisha ni kwamba huwezi kuwa hata mjumbe wa nyumba 10 katika mtaa wako achilia mbali kuwa rais
 
Kata ninayoishi kuna kituo kidogo cha polisi, ni kizuri sana hadi mahabusu kuna tiles, mahabusu wa vituo vingine huwa wanaombwa wapelekwe kule bahati mbaya sana mahabusu ni ndogo haiwezi kuaccommodate watu wengi
Bila shaka itakuwa ni mabatini hapo
 
Back
Top Bottom