Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Jengo la mahakama ya Wilaya Chato

Hizi nguvu mnazotumia kwenye mambo madogo kama haya munge elekeza kwenye mambo muhimu makubwa.
Hilo jengo la kawaida sana tatizo ni hizo ngazi au au urembo wa nguzo za kwenye baraza?

Wilaya nyingine ni za zamani sana, mahakama zake zilijengwa zamani hivyo huwezi kufananisha na wilaya mpya inayojengwa majengo au miundombinu ya kisasa.
Aliki ya kawaida tu inatosha kutambua hii sababu ya utifauti wa miundombinu mipya.

Mnataka mwaka 2015/2019 lijengwe jengo kama la mwaka 1961/1986?
Hata huku mitaani maeneo ya miji au makazi mapya huwa na majengo mazuri ya ramani na urembo wa kisasa.

Hii ndio shida ya kuwa na watu wako wa propaganda na kampeni wenye elimu ndogo kama akina mdude.
Sijawahi kuona ukosoaji wa kitoto namna hii enzi za ujana wa akina Mnyika, Halima Mdee, Zitto Kabwe n.k.
Na hao wote utaona elimu yao ni tofauti na akina Mdude. Kibaya zaidi hata wenye elimu ya juu wanaingia mkenge kuuunga juhudi za ukosoaji wa mambo madogo sana na kuacha makubwa ya msingi.
Nasikia mvua zinanyesha Dar es Salaam nzima haipitiki, kila kona maji yamejaa barabarani, hivi zile barabara za awamu ya tano zilihamishiwa chato pia au bado ziko mwanza kwenye mapokezi ya ndege na mkutano mkuu wa chama?!
 
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea .

Ukiangalia jengo hili jipya la mahakama ya wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.

Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter

View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Ebana eeeh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kali balaa ila mahakama hata iwe nzuri kiasi gani haivutii ni kama jeneza tu hata liwe zuri namna gan huwez kulitamani
Ndio jamaa anatamani ajengewe kwao,labda anajiandaa kupelekwa sa anaona noma kwenda kwenye jengo baya.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

macson
 
Kwani hamjui kuwa,muda si mlefu inapandishwa kuwa mkoa?utaitwa mkoa wa LUBONDO!angalia hata jengo la TRA chato ni lakisasa kuliko majengo yote ya TRA kanda yote ya ziwa na maghalibi wajati haitowi hata leseni za bodaboda,taa za kuongozea nagali zupo ili hali barabala ni moja tu,benk hata zile za nje zimefunguliwa chato wakati ni kijijini hazina hata wateje kabisa.
 
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea .

Ukiangalia jengo hili jipya la mahakama ya wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.

Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter

View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
 
Mhe.Rais mimi najua wewe sio mbunge wa Chato bali ni Rais wa nchi. Maana yangu ni kwamba linapofika suala la maendeleo simamia bila kupendelea.

Ukiangalia jengo hili jipya la Mahakama ya Wilaya ya Chato hivi ni wilaya gani nyingine yenye jengo la mahakama ya kisasa kama hili? Kama ni kwa nia njema ningetamani kuona majengo ya namna hii ya kisasa kwenye mahakama zote za wilaya nchi nzima lakini jengo hili nimeliona Chato tu anakotoka Rais.

Mdude Nyagali
#Sumu_ya_nyigu
#freedom_fighter

View attachment 1294907View attachment 1294907View attachment 1294907
Mahakama ipo katika mpango wa kuboresha mahakama zake za wilaya.....
kaangalie mahakama ya Wilaya Kibaha nenda Mahakama mpya ya Ilala.....
na sehemu kadhaa tu....
 
Back
Top Bottom