Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Yule kiumbe alikuwa na Roho chafu Sana, ukiwa na Roho chafu huwezi kuwa na maisha marefu,

Twende na Samia Hadi 2035
 
Exactly,jamaa alikuwa zaidi ya ibilisi kabisa,nashangaa Hawa misukule wake wanavyomtukuza
 
Ukifanya mazuri mengi lakini ukiua mara moja tu, mkono wa sheria uko juu yako.
Kombe alikufa kwenye utawala wa magufuli?,Daudi mwangosi kauliwa kwenye utawala wa Magu? Serikali ni jitu kubwa hasara zingine hazina Budi kutokea ili nchi isonge mbele.
 
Kombe alikufa kwenye utawala wa magufuli?,Daudi mwangosi kauliwa kwenye utawala wa Magu? Serikali ni jitu kubwa hasara zingine hazina Budi kutokea ili nchi isonge mbele.
Hekima katika uongozi ni muhimu sana.
Hakuna kitu cha udhalimu chini ya jua ambacho hakima malipo hapa hapa duniani.
Na madaraka yoyote ni kama upanga wa pande mbili, ukikata kwa udhalimu, upanga nao utakukata.
Fuatilia ujiridhishe.
 
Sawa magu kafa kwa kujaribu kumuua tindu na mkapa kwa kumuua kombe lkn mbona kikwete bado tupo na Hali alimuua daud mwangosi? Haya mambo ni co incidence tu hayahusiani kabisa bro maso.
 
Sawa magu kafa kwa kujaribu kumuua tindu na mkapa kwa kumuua kombe lkn mbona kikwete bado tupo na Hali alimuua daud mwangosi? Haya mambo ni co incidence tu hayahusiani kabisa bro maso.
Mkuu the Lord takes His time.
Wakati mwingine utafikiri hayupo.
Retribution is mine, says the Lord.
 
Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowassa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowassa..

Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Suala la kubomoa jengo lile lilinifanya nijue kuwa dokta magu alikuwa ni mtu anayependa visasi. Eti alitaka kumkomoa Pinda kwa kuwa alimwambia asilibomoe.
 
Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
Lakini alibomoa au hakulibomoa?, Aliwakomesha kweri kweri
 
Una maana lisu?, Maana magufuli alukuwa anafuata sheria mpaka basi,, same as lisu,,
,Unafuata sheria hadi kupitiliza,,
 
Mwendazake alikuwa Psychopath na wivu pia
Alijitahidi kutengeneza mabilionea wengi sana, [emoji16] mabilionea wa zamani akina zakari, mengi, mo, walikuwa ni mabepari tu hao na ilikuwa ni kunyooshwa mmoja baada ya mwingine,, hatimaye tukapata mabilionea wazalendo akina mayanga, makonda, masunga, maduhu, etc,,,
 
,, [emoji23][emoji23][emoji125]yule sasa na mtawala buana,,, yaani hizo pesa mtazitapika, na mtazitolea tundu lolote"

Jamaa alikua hana mchezo kabisa,,, [emoji847][emoji847]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…