Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Lowasa hakuwa fisadi,, tatizo lake alukosa subira, na shida ilianzia mkutano wa kumchagua mwenyekiti wa ccm,, liwasa alitaka kuhakikisha JK anaukosa ili agombee urais 2010,, hapo ndo tabu ilianzia
 
Kuna wapumbavu wengi sana walivumisha hilo jengo la Lowassa. Matokeo yake ndo amri za kulivunja wakijua wanamkomoa Lowassa..

Hiii nchi upumbavu Una nguvu kuliko akili
Kumbe ndio sababu ya Yule jamaa wa visasi na roho mbaya kutaka kulibomoa
 
Kuna uozo zaidi ya kubomoa jengo la TANESCO ili kujionyesha mabavu yako?
 
Ulisha ambiwa kaa na mavi yako nyumbani.
Upo hapo?
 
Alihisi jengo ni la Lowasa akalibomoa,kama alivyobomoa bilcanas akihisi majengo ni ya Mbowe kumbe NHC akahisi kimara wamepigia chadema akawavunjia.
Kuumbuliwa bashite vyeti feki chuki akazihamishia kwa wafanyakazi kuwaondoa kazini kwa uonevu,kuhisi wafanyakazi walimpigia Lowasa akawashughulikia kwa uhakiki, kuwafukuza,kufuruga mifumo ya upandaji mishahara na vyeo, kuwanyima nyongeza za mishahara,kuwaletea kikokotoo,nk.
Hisia ni mbaya sana.
 
Lugumi, maganga
 
Kisheria ilikuwa sahihi kulibomoa au alivunja sheria?
Kama haliathiri
Alitishia kuyabomoa majengo yote dar ya serikali baada ya kuhamia dodoma.
 
Ikulu ya dar isingekuwa mali ya wajerumani kama urithi wa dunia,angeshaibomoa Ili raisi ajae asikae dar.
 
Taahi.ra wewe...alipewa na nani kama sio sisi the majority? we ni nani wa kutupangia sisi watanzania tulio wengi tuongozwe na nani?
Labda wwe.Hana historia ya kushinda chochote nje ya kubebwa
 
Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
Ila na wewe una chuki za kitoto sana....kila thread upo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…