Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Lowasa hakuwa fisadi,, tatizo lake alukosa subira, na shida ilianzia mkutano wa kumchagua mwenyekiti wa ccm,, liwasa alitaka kuhakikisha JK anaukosa ili agombee urais 2010,, hapo ndo tabu ilianzia"Mtu hakosi mazuri the positive thing about that guy is his ability to mobilise resources na kuinfluence."- He had connections, and also the goodwill for the nation, kama utajiri alishakuwa nao zamani, then what happened? Kuchafuliwa na kila mtu kupitia hela za JK, kinachokera zaidi wapinzani nao wakahongwa kumchafua jamaa, Mwanahalisi (Kubenea wa CDM) and TZ Daima (Ya Mbowe) kila siku habari za jamaa fisadi, then wakabadilikiana wakamchukua huyo fisadi awe mgombea wao, Shida tupu siasa zetu