Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Marais kama Samia/Kikwete/Mkapa/Mwinyi hawawezi! Ila huyu aliyepita aliweza
Pure madness, kilichofanywa hakiwezi fanywa na mtu mwenye akili timamu, anayehurumia mali ya watanzania masikini.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Ndg Dialo ali hint kuwa huyu jamaa alikuwa na faili Milembe, hizi ndio kithibitisho.
Angebomoa Ikulu akajenge Chato sijui mngesemaje.
 
Nadhani hujaielewa point yangu chief
 
Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
Kwani ilo jengo linawauma nini hasa? Zilibomolewa nyumba huko kimara kibao, pale pembeni kulikuwa na jengo la Wizara ya Maji nalo likabomolewa wala hamyaoengelei ayo lakini kutwa ilo jengo tu la Tanesci tena sio la shirika hapana! Shida nini haswa hapo?
 
Kikwete alichoifanyia nchi hii kwa kumpa Urais Magufuli hatosamehewa kamwe
 
Mi nalaani umasikini ndio unaosababisha watu kuwa na roho mbaya mno
Hakika umeandika kweli tupu.
Masikini (wa akili na kipato), au wale waliozaliwa na kulelewa kwenye umasikini uliotopea, wana roho mbaya sana inayokaribiana na ushetani.
Hili nimelishuhudia kwa watu wasiopungua watano ambao walizaliwa kwenye lindi la umasikini na kukulia kwenye umasikini uliotopea, walipopata nafasi kidogo tu za vyeo, wamekuwa ni makatili zaidi ya Nduli Amini.
 
Shida ni dhamira iliyokuwa nyuma ya ubomoaji wa hilo jengo, lilipaniwa haswaaa...! Na wakati anaamrisha libomolewe alisema alishindwa kubomoa akiwa waziri kwani Pinda alimzuia, ila kwa vile sasa yeye ni bosi basi analibomoa
 
Alikua na roho ya uharibifu Sana yule jamaa.Ila Diallo alisema jamaa alikua na file lake pale Milembe.
 
Kikwete alichoifanyia nchi hii kwa kumpa Urais Magufuli hatosamehewa kamwe
Kuna upuuzi mwingi Kikwete alifanya, unasameheka! Ila siyo huu wa kumweka jamaa kwenye Urais, aliua nchi, miaka 5 ya jamaa imevuruga mambo mengi sana, Watu wamekuwa waogaa, wanaswagwa kama mbuzi, 2015 and below hadi wanavyuo walikuwa wanaitunishia serikali na wanasikilizwa, leo hii hamna anayethubutu, kawarithisha na hawa akina Hangaya, japo mambo yanabadilika kwa sasa, ila itatake muda kidogo! ONA MAJIRANI ZETU WANAVYOJIACHIA NA NCHI YAO....
 
Kodi zetu mkuu jengo la mamilioni unalibomoaje kingese bila sababu
 
Ni jengo la shirika, acheni kudanganyana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…