Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Jengo la TANESCO alilobomoa Magufuli, mpaka leo sielewi!

Wakuu yote tisa, kumi let's pay respect to whoever called a diseased fellaz. I see many people still keep on attacking the late for his deeds. Let him rest easy fellaz he is no longer with us so traditionally paying respect is wiser than what we are doing now.
 
Nero, Hitler, Mussolin wamekufa miaka hiyooo and still jamii inaambiwa maovu yao, kukumbushana huku ni kuiambia next generation lisirudiwe kosa la 2015! Mbona Mkapa hazungumziwi kwa mabaya namna hii? Wewe kama haukuwa victim wa huu utawala utachukulia poa sana
 
Lowassa hakuchafuliwa na upinzani walikuwa wanachafuana ccm wenyewe wapinzani walitumia advantage hiyo kwa sababu ccm toka uchaguzi wa 2005 hawategemei ubora wa sera zao bali wanaangalia aina ya mgombea ndiyo maana upinzani waliwekeza sana kwenye kushambulia personalities za wanaccm kwa sababu ndiyo ilikuwa political capital ya ccm.
Umeisahau ile "LIST OF SHAME" waliyoizusha CHADEMA na Dr.Slaa pale MWEMBEYANGA?!!!
 
Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.

Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.

Kama si uhujumu sijui?

Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Mbona mnanongwa?
Kwani sheria za barabarakuu zinasemaje?
 
Umeisahau ile "LIST OF SHAME" waliyoizusha CHADEMA na Dr.Slaa pale MWEMBEYANGA?!!!
Bado jibu linabaki lile lile kwenye comment uliyoquote.

Ukiendesha siasa za populism expect wapinzani wako kufanya character assassination.

Kiufupi CCM kwa sasa hamuwezi kuuza sera tena badala yake mnauza wagombea tu.
 
Hakuna policy thinkers CCM siku hizi , hakuna kabisa.
 
Back
Top Bottom