Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
Not chuki chief, jamaa alikuwa wa hovyo, huo ndio ukweliIla na wewe una chuki za kitoto sana....kila thread upo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not chuki chief, jamaa alikuwa wa hovyo, huo ndio ukweliIla na wewe una chuki za kitoto sana....kila thread upo tu
Mbona leo ninakuelewa. Na jina limekaa vizuri!Alitaka kulibomoa alipokuwa waziri, JK na Pinda wakamzuia! Alipopata Uboss akabomoa makusudi ili kuwaonesha yeye ni nani!! Kati ya dhambi CCM hawatakuja kusamehewa ni kutuletea yule jamaa awe Rais wetu
legacy ya nyokoMnajifanya mnataka kupoteza legacy.......
ushuzi kweli huu....
Hivi hilo jengo ni la nani
Ova
Chief mimi kila siku nipo poa sana tu, ila huwa tukikutana zile pande nyingine ndiyo huwa tunavurugana kidogo, ila sio sana😂Mbona leo ninakuelewa. Na jina limekaa vizuri!
Kuna ishu jamaa alifanya kwenye family yake, ni vile tu kuna vitu haviwezi kuongelewa hapa bila kuweka uthibitisho, he was a fcn devilyule jamaa alikuwa na roho ya kishetani kabisa
Wewe huoni hapo imeandikwa Mzila.ni.k.ende? Yule mzee alikuwa punguani Sisi hatukujua tu! Taahira huwezi kumpa madaraka makubwa hivyo! Lawama kwetu wananchi!mzilankende ndo maana yake nini
Mbona inajulikana?Kuna ishu jamaa alifanya kwenye family yake, ni vile tu kuna vitu haviwezi kuongelewa hapa bila kuweka uthibitisho, he was a fcn devil
Hahaha, good ChiefMbona inajulikana?
Nero, Hitler, Mussolin wamekufa miaka hiyooo and still jamii inaambiwa maovu yao, kukumbushana huku ni kuiambia next generation lisirudiwe kosa la 2015! Mbona Mkapa hazungumziwi kwa mabaya namna hii? Wewe kama haukuwa victim wa huu utawala utachukulia poa sanaWakuu yote tisa, kumi let's pay respect to whoever called a diseased fellaz. I see many people still keep on attacking the late for his deeds. Let him rest easy fellaz he is no longer with us so traditionally paying respect is wiser than what we are doing now.
Umeisahau ile "LIST OF SHAME" waliyoizusha CHADEMA na Dr.Slaa pale MWEMBEYANGA?!!!Lowassa hakuchafuliwa na upinzani walikuwa wanachafuana ccm wenyewe wapinzani walitumia advantage hiyo kwa sababu ccm toka uchaguzi wa 2005 hawategemei ubora wa sera zao bali wanaangalia aina ya mgombea ndiyo maana upinzani waliwekeza sana kwenye kushambulia personalities za wanaccm kwa sababu ndiyo ilikuwa political capital ya ccm.
Mbona mnanongwa?Mpaka leo sielewi kwa nini hili jengo lilibomolewa.
Nimefika hata nchi za nje, barabara inakatiza hadi katikati ya jengo, na jengo hili hata kwa barabara iliyopo Ubungo haijafikia liliko jengo lililobomolewa.
Kama si uhujumu sijui?
Mi nachokoza tu, wataalam tuambieni!
View attachment 1991013
Jizi kaziniLegacy ya nyokooo
Kinu cha kuzalisga umeme kutokana na gesi ,42MW pale Ubungo kiko ndani ya mita 100, sijui kwa nini hakikubomolewa!Mbona mnanongwa?
Kwani sheria za barabarakuu zinasemaje?
Mkuu huyo jamaa yenu alikuwa dakika tatu mbele.Mbona mnanongwa?
Kwani sheria za barabarakuu zinasemaje?
Bado jibu linabaki lile lile kwenye comment uliyoquote.Umeisahau ile "LIST OF SHAME" waliyoizusha CHADEMA na Dr.Slaa pale MWEMBEYANGA?!!!
Hakuna policy thinkers CCM siku hizi , hakuna kabisa.Bado jibu linabaki lile lile kwenye comment uliyoquote.
Ukiendesha siasa za populism expect wapinzani wako kufanya character assassination.
Kiufupi CCM kwa sasa hamuwezi kuuza sera tena badala yake mnauza wagombea tu.
Mzilankende alikuwa mpuuzi Sana yule yaani sijui alikuwa na laana ya wapi huyu mtu hapa chini [emoji116]
View attachment 1991186