Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Tanesco mkoa wa Chato, take note pleaseView attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Ndio limeishia hapo au litaendelea kujengwa.....View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
Ashitakiwe kwa kujenga magofu kwa hela adimu ya Watsnzania.Kalemani nadhani anaendeleza ya Mjomba wake, Ni sahihi kumlaumu?
Nilipendekeza lolote lililojengwa kwa upendeleo libomoleweAshitakiwe kwa kujenga magofu kwa hela adimu ya Watsnzania.
Kama mwendazake alivyovunja jengo la TANESCO Ubungo bila sababu yoyote.Nilipendekeza lolote lililojengwa kwa upendeleo libomolewe
Kwani jengo ndio linazalisha umeme?View attachment 1944399
Jengo la TANESCO Chato, wilaya yenye wakazi 28,000 tu, ni kubwa kubwa kupitiliza.
Wilaya ya Temeke ina wakazi milioni moja na nusu, lakini hakuna jengo la kutisha na huduma inaendelea.
Hizo ndio zilikuwa sera za upendeleo maalum Chato, alizoanzishwa na Mwendazake na henchman Kalemani.
Kwa hili kwa kweli Kalemani ashitakiwe kwa uhujumu uchumi na matumizi mabaya ya madaraka.
We mjinga nini, nawe ushitakiwe kwa kushindwa kufikiri.Kwani jengo ndio linazalisha umeme?
Wivu tu.
Nungwi watajenga wazanzibari sio kwa hela za watanganyika.Mama nae ajenge huko Nungwi
Post of the day!We mjinga nini, nawe ushitakiwe kwa kushindwa kufikiri.
Tusi uchekee upendeleo wa dhahiri na usio na tija.Sioni shida, ni namna ya kufungua mikoa ambayo imeachwa nyuma kimaendeleo.
Hata Pinda alijenga airport Katavi, kwa wkati ule ilionekana ni anasa ila kwa sasa ni uwekezaji mzuri.
Kuna ubaya gani kujenga jengo kama hilo Chato?
Ndio maana wakamtungua kabla hajaharibu nchiView attachment 1944399