Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi


Karibu sana Dar es Salaam, habari ya utokako huko Iselamagazi?
 
Pale tumepigwa design ya fly over iliyokuwa kwenye picha siyo hii iliyojengwa so kuna njia wameziondoa ambazo zingefanya ipite karibu na lile jengo.
 
Lile Jengo ni la Mamvi, ndio Maana Mwendakuzimu alikomaa libomolewe
Mamvi aliporudi Kwenye Chama Cha Mataahira, Ubomoaji ukasitishwa
 
Yamkini wewe ni mgeni hapa mjini; sehemu ya mbele ya ile ghorofa ilikua demolished ndo mana hata Sasa watu wanahofia usalama wa kuitumia lile jengo! Uliza waliokutangulia mjini
Labda pia hujui kama stand kuu ya Dala Dala ubungo ilikua Kabla ya lile jengo au vilipakana
Na labda hujui kuwa panapo madaraja (interchange) bridge palikua na mataa ya kuongozea magari.
Kama sio chuo kimekuleta mjini Basi itakua uko kwa shemeji yako likizo!
 
Hii ni research au hisia? Nadhani ulipaswa kwenda deep kidogo kufahamu kama unachokifahamu ndio fact then conclude.
 
MBONA JENGO BADO LIPO NA NI OFISI ZA KAZ ZA WATU .....

JENGO LA TANESCO UBUNGO MAJI PEMBENI KARIBU NA KITUO CHA MWENDOKASI UBUNGO MAJI BADO LIPO .......
 
JPM hakuwa sawa kichwani.
Mrizidisha mbwembwe na madaharu, baada ya kula na kusaza vihepe!! madharau sana! kwa jakaya Mrisho kikwete!! mkwere akaona isiwe tabu ngoja awaletee ''chuma hikiiii!!

na kweli kwa miaka mitano tu watanzania wooote Mliyamba kifukuto si kawaida, kila mkiona unyasi mnastuka na hamatasahau Milele!!......

siku nyingine Mjifunzege kuheshimu watu wakubwa, wenye akili mingi km jakaya! ili msirudie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…