Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

Hivi we una shida gani? Jengo unalosema limebomolewa Wala si kweli? Jengo lipo kwa taarifa yako jengo Ni la mzee mweupe mwenye mvi alivyoona jengo litadondoka kweli akatinga ofisi ya raia namba moja kipindi hicho akaomba isitokee hivyo. Namba one Raia akaona POA isitoshe white hair akaahidi kuhamia huko ufipani. Basi likaachwa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu kuna mtu anakutegemea kwa ushauri kwenye familia yako?
 
Sijui huwa una shida gani kichwani, anyway kuna ukichaa wa kujitakia
 
Mrizidisha mbwembwe na madaharu, baada ya kula na kusaza vihepe!! madharau sana! kwa jakaya Mrisho kikwete!! mkwere akaona isiwe tabu ngoja awaletee ''chuma hikiiii!!

na kweli kwa miaka mitano tu watanzania wooote Mliyamba kifukuto si kawaida, kila mkiona unyasi mnastuka na hamatasahau Milele!!......

siku nyingine Mjifunzege kuheshimu watu wakubwa, wenye akili mingi km jakaya! ili msirudie!
Unaonaje ukijifunza kuandika?
 
Mngeshaviweka kama vipo,mlivyo na roho za kiwanga.
Hivi inahitaji cheti kuthibitisha kuwa Jiwe alikuwa chizi? Yeye mwenyewe alikuwa anasema kuwa ni kichaa, ila wewe unabisha
 
MBONA JENGO BADO LIPO NA NI OFISI ZA KAZ ZA WATU .....

JENGO LA TANESCO UBUNGO MAJI PEMBENI KARIBU NA KITUO CHA MWENDOKASI UBUNGO MAJI BADO LIPO .......
Hivi umesoma na kuelewa kweli? Au wew ni bashite?
 
CHEKI ULIVYO KILAZA SASA
MI NIMESEMA SIO KILA ANAEKAA DAR ANAPAJUA UBUNGO MAJI NIKIMAANISHA KIUJUMLA SIO WOTE WANAWEZA LIEWELA VEMA ENEO HUSIKA PASI NA KUPITA NA SIO KUKAA.

SHIDA YA KULETWA MJINI NA SHEMEJI YAKO
Huu mwandiko wa herufi kubwa una hashiria kuwa kuna nati haijakaa sawa mahala
 
Hivi umesoma na kuelewa kweli? Au wew ni bashite?
Hayaa ndio maeneo yangu mbwa wewe ,na ubungo maji ndio kijiwe changu pale Nina wanaa kibao ....mbona jengo BADO lipo so hiloo ....
IMG_20221130_183307~2.jpg
 
Dogo hajui kitu ila ajajifanya much know
Wewe unajua Nini kuhusu ubungo maji ,hii ndio mitaa yetu ,vijiwe vyetu viko hapa ,....ndio masikanii yetu ...huenda nabishana na majitu ya huko chitohorii
 
Hayaa ndio maeneo yangu mbwa wewe ,na ubungo maji ndio kijiwe changu pale Nina wanaa kibao ....mbona jengo BADO lipo so hiloo ....View attachment 2432154
Hivi umeelewa kweli wewe? Wapi wamesema jengo zime limebomolewa? Wing ya mbele ndiyo imebomolewa wewe unaleta ujuaji na picha juu. Au uliposikia jengo la mbele ukajua jengo zima???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamaeeee kuna watu vichaa hatari
 
Wewe unajua Nini kuhusu ubungo maji ,hii ndio mitaa yetu ,vijiwe vyetu viko hapa ,....ndio masikanii yetu ...huenda nabishana na majitu ya huko chitohorii
Mjinga huona wengine ndiyo wajinga, ok basi halijabomolewa. Enjoy
 
Yamkini wewe ni mgeni hapa mjini; sehemu ya mbele ya ile ghorofa ilikua demolished ndo mana hata Sasa watu wanahofia usalama wa kuitumia lile jengo! Uliza waliokutangulia mjini
Labda pia hujui kama stand kuu ya Dala Dala ubungo ilikua Kabla ya lile jengo au vilipakana
Na labda hujui kuwa panapo madaraja (interchange) bridge palikua na mataa ya kuongozea magari.
Kama sio chuo kimekuleta mjini Basi itakua uko kwa shemeji yako likizo!
Kweli kabisa zamani stand ya daladala ilikuwa pale na jioni kulikuwa na biashara za watu mbalimbali kuanzia vyakula mpaka mitumba kabisa. Jengo lipo kubwa lakini asilimia kubwa sana limebomolewa. Watu waache ubishi wa kusema mbona jengo lipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umeelewa kweli wewe? Wapi wamesema jengo zime limebomolewa? Wing ya mbele ndiyo imebomolewa wewe unaleta ujuaji na picha juu. Au uliposikia jengo la mbele ukajua jengo zima???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamaeeee kuna watu vichaa hatari
Wewe NI mpumbavu tu ,huenda nabishana na kilaza ambaye hata ubungo haijui ....
 
Wewe NI mpumbavu tu ,huenda nabishana na kilaza ambaye hata ubungo haijui ....
Nimekuuliza wapi wamesema jengo zima limebomolewa? Ama hujui kuwa kulikuwa na wing ya mbele? Alafu unajifanya eti ndiyo kijiwe chako kilipo wakati hata wing ya mbele hujui kama ilikuwepo. Pumbavu
 
Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'.

Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive za siasa zilitumika katika kulivunja jengo la mbele la ofisi hizo. Kwa sababu licha jengo hilo kuwa karibu na barabara lakini halikuwa na madhara yoyote na hata lingeachwa lisingezuia ujenzi huo kwasababu bado kuna nafasi kubwa ya kutosha kupitisha barabara ya one-way pale na jengo likiwepo.

Kwa mtazamo wangu, Serikali iliingizwa kwenye gharama zisizo na msingi wowote kwenye ubomoaji wa lile jengo kwa maagizo ya mzee chato.
Wanaouliza ushahidi tunaposema Magufuli alikuwa KICHAA, basi huu ni Moja ya ushahidi wenyewe.

Aliahidi hata kuigeuza Ikulu ya Magogoni kuwa hoteli.

Watanzania tuendelee kumshukuri Mungu kwa kutuondolea yule Shetani wa Chato
 
Hivi we una shida gani? Jengo unalosema limebomolewa Wala si kweli? Jengo lipo kwa taarifa yako jengo Ni la mzee mweupe mwenye mvi alivyoona jengo litadondoka kweli akatinga ofisi ya raia namba moja kipindi hicho akaomba isitokee hivyo. Namba one Raia akaona POA isitoshe white hair akaahidi kuhamia huko ufipani. Basi likaachwa

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Jengo la TANESCO siyo mali ya Mzee mwenye mvi unayemtaja hapa wala la mtu mwingine yeyote. Lile jengo ni mali ya TANESCO na limejengwa kwa Fedha za TANESCO wakati Eng Mhaville akiwa MD.

Hizo assumptions zenu ndiyo na yule Mwendazake alikuwa nazo. Pata fact kabla hujaandika kitu humu
 
Back
Top Bottom