Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
[emoji3][emoji3]Yamkini wewe ni mgeni hapa mjini; sehemu ya mbele ya ile ghorofa ilikua demolished ndo mana hata Sasa watu wanahofia usalama wa kuitumia lile jengo! Uliza waliokutangulia mjini
Labda pia hujui kama stand kuu ya Dala Dala ubungo ilikua Kabla ya lile jengo au vilipakana
Na labda hujui kuwa panapo madaraja (interchange) bridge palikua na mataa ya kuongozea magari.
Kama sio chuo kimekuleta mjini Basi itakua uko kwa shemeji yako likizo!