Mkuu kuna mtu anakutegemea kwa ushauri kwenye familia yako?Hivi we una shida gani? Jengo unalosema limebomolewa Wala si kweli? Jengo lipo kwa taarifa yako jengo Ni la mzee mweupe mwenye mvi alivyoona jengo litadondoka kweli akatinga ofisi ya raia namba moja kipindi hicho akaomba isitokee hivyo. Namba one Raia akaona POA isitoshe white hair akaahidi kuhamia huko ufipani. Basi likaachwa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Unaonaje ukijifunza kuandika?Mrizidisha mbwembwe na madaharu, baada ya kula na kusaza vihepe!! madharau sana! kwa jakaya Mrisho kikwete!! mkwere akaona isiwe tabu ngoja awaletee ''chuma hikiiii!!
na kweli kwa miaka mitano tu watanzania wooote Mliyamba kifukuto si kawaida, kila mkiona unyasi mnastuka na hamatasahau Milele!!......
siku nyingine Mjifunzege kuheshimu watu wakubwa, wenye akili mingi km jakaya! ili msirudie!
Hivi inahitaji cheti kuthibitisha kuwa Jiwe alikuwa chizi? Yeye mwenyewe alikuwa anasema kuwa ni kichaa, ila wewe unabishaMngeshaviweka kama vipo,mlivyo na roho za kiwanga.
Kwanini wachina walishangaa?Sio jengo hilo tuu liufupi nyumba kuanzia ubungo hadi mbezi hadi wachina wenyewe walishangaa
Hivi umesoma na kuelewa kweli? Au wew ni bashite?MBONA JENGO BADO LIPO NA NI OFISI ZA KAZ ZA WATU .....
JENGO LA TANESCO UBUNGO MAJI PEMBENI KARIBU NA KITUO CHA MWENDOKASI UBUNGO MAJI BADO LIPO .......
Huu mwandiko wa herufi kubwa una hashiria kuwa kuna nati haijakaa sawa mahalaCHEKI ULIVYO KILAZA SASA
MI NIMESEMA SIO KILA ANAEKAA DAR ANAPAJUA UBUNGO MAJI NIKIMAANISHA KIUJUMLA SIO WOTE WANAWEZA LIEWELA VEMA ENEO HUSIKA PASI NA KUPITA NA SIO KUKAA.
SHIDA YA KULETWA MJINI NA SHEMEJI YAKO
Hayaa ndio maeneo yangu mbwa wewe ,na ubungo maji ndio kijiwe changu pale Nina wanaa kibao ....mbona jengo BADO lipo so hiloo ....Hivi umesoma na kuelewa kweli? Au wew ni bashite?
Kuna ambalo lilibomolewa likabaki hilo, utakuwa mgeni kidogoHayaa ndio maeneo yangu mbwa wewe ,na ubungo maji ndio kijiwe changu pale Nina wanaa kibao ....mbona jengo BADO lipo so hiloo ....View attachment 2432154
Dogo hajui kitu ila ajajifanya much knowUliza wait vizuri huijui Ubungo na hata kwanini panaitwa Ubungo maji!
Hero kwa family yako. PatheticPamoja na mabaya yote anayootwishwa bado aataendelea kuwa hero, we subiri hii serikali ya msoga ipite utasikia mambo.
Wewe unajua Nini kuhusu ubungo maji ,hii ndio mitaa yetu ,vijiwe vyetu viko hapa ,....ndio masikanii yetu ...huenda nabishana na majitu ya huko chitohoriiDogo hajui kitu ila ajajifanya much know
Hivi umeelewa kweli wewe? Wapi wamesema jengo zime limebomolewa? Wing ya mbele ndiyo imebomolewa wewe unaleta ujuaji na picha juu. Au uliposikia jengo la mbele ukajua jengo zima???Hayaa ndio maeneo yangu mbwa wewe ,na ubungo maji ndio kijiwe changu pale Nina wanaa kibao ....mbona jengo BADO lipo so hiloo ....View attachment 2432154
Mjinga huona wengine ndiyo wajinga, ok basi halijabomolewa. EnjoyWewe unajua Nini kuhusu ubungo maji ,hii ndio mitaa yetu ,vijiwe vyetu viko hapa ,....ndio masikanii yetu ...huenda nabishana na majitu ya huko chitohorii
Kweli kabisa zamani stand ya daladala ilikuwa pale na jioni kulikuwa na biashara za watu mbalimbali kuanzia vyakula mpaka mitumba kabisa. Jengo lipo kubwa lakini asilimia kubwa sana limebomolewa. Watu waache ubishi wa kusema mbona jengo lipo.Yamkini wewe ni mgeni hapa mjini; sehemu ya mbele ya ile ghorofa ilikua demolished ndo mana hata Sasa watu wanahofia usalama wa kuitumia lile jengo! Uliza waliokutangulia mjini
Labda pia hujui kama stand kuu ya Dala Dala ubungo ilikua Kabla ya lile jengo au vilipakana
Na labda hujui kuwa panapo madaraja (interchange) bridge palikua na mataa ya kuongozea magari.
Kama sio chuo kimekuleta mjini Basi itakua uko kwa shemeji yako likizo!
Wewe NI mpumbavu tu ,huenda nabishana na kilaza ambaye hata ubungo haijui ....Hivi umeelewa kweli wewe? Wapi wamesema jengo zime limebomolewa? Wing ya mbele ndiyo imebomolewa wewe unaleta ujuaji na picha juu. Au uliposikia jengo la mbele ukajua jengo zima???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mamaeeee kuna watu vichaa hatari
Nimekuuliza wapi wamesema jengo zima limebomolewa? Ama hujui kuwa kulikuwa na wing ya mbele? Alafu unajifanya eti ndiyo kijiwe chako kilipo wakati hata wing ya mbele hujui kama ilikuwepo. PumbavuWewe NI mpumbavu tu ,huenda nabishana na kilaza ambaye hata ubungo haijui ....
Wanaouliza ushahidi tunaposema Magufuli alikuwa KICHAA, basi huu ni Moja ya ushahidi wenyewe.Wakuu, nimepita mara kadhaa pale kwenye jengo la TANESCO Ubungo Maji nikaishia kushangaa tu kwanini Mwendazake alikomaa sana lile jengo libomolewe na kile kilichoitwa kupisha ujenzi wa 'Flyover' iliyopewa jina la swahiba wake hayati 'Kijazio'.
Kimsingi ukipita pale utaona ni kiasi gani motive za siasa zilitumika katika kulivunja jengo la mbele la ofisi hizo. Kwa sababu licha jengo hilo kuwa karibu na barabara lakini halikuwa na madhara yoyote na hata lingeachwa lisingezuia ujenzi huo kwasababu bado kuna nafasi kubwa ya kutosha kupitisha barabara ya one-way pale na jengo likiwepo.
Kwa mtazamo wangu, Serikali iliingizwa kwenye gharama zisizo na msingi wowote kwenye ubomoaji wa lile jengo kwa maagizo ya mzee chato.
Jengo la TANESCO siyo mali ya Mzee mwenye mvi unayemtaja hapa wala la mtu mwingine yeyote. Lile jengo ni mali ya TANESCO na limejengwa kwa Fedha za TANESCO wakati Eng Mhaville akiwa MD.Hivi we una shida gani? Jengo unalosema limebomolewa Wala si kweli? Jengo lipo kwa taarifa yako jengo Ni la mzee mweupe mwenye mvi alivyoona jengo litadondoka kweli akatinga ofisi ya raia namba moja kipindi hicho akaomba isitokee hivyo. Namba one Raia akaona POA isitoshe white hair akaahidi kuhamia huko ufipani. Basi likaachwa
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app