Jengo la TANESCO lilibomolewa kwa Siasa na siyo kupisha Ujenzi

[emoji3][emoji3]
 
Lile Jengo ni la Mamvi, ndio Maana Mwendakuzimu alikomaa libomolewe
Mamvi aliporudi Kwenye Chama Cha Mataahira, Ubomoaji ukasitishwa
Jengo ni Mali ya Imma kupitia TANESCO
 
MBONA JENGO BADO LIPO NA NI OFISI ZA KAZ ZA WATU .....

JENGO LA TANESCO UBUNGO MAJI PEMBENI KARIBU NA KITUO CHA MWENDOKASI UBUNGO MAJI BADO LIPO .......
Habari za Kazuramimba? Mnapokuja Dar es Salaam muwe mnauliza wenyeji.

Pole
 
Rudi kwenu Nangurukulu Dar siyo saizi yako. Unabishana mambo usiyoyajua na unakomaa mpaka mishipa inakutoka.

Facts ni hizi hapa;
1. Kulikuwa na majengo pacha. La mbele na la nyuma

2. Lakini yalikuwa na muunganiko kama mapacha walioungana (conjoined twins)

3. Jengo la mbele ndiyo lilibomolewa na la nyuma likabaki.

4. Sehemu iliyobaki haitumiki kwa vile yaweza kuwa safety and health hazard kwa kuwa yaliungana previously.

5. Kuna marekebisho inabidi yafanyike kwanza kabla ya kutumika na wafanyakazi.

All in all Magufuli was sick mentally to undertake the demolition
 
Watu kama hawa inabidi kuwafundisha kwa vitendo na mifano hai. Hiyo ni baada ya kubomolewa na kabla ya kubomolewa labda wataelewa na kuacha kubisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AKILI NDOGO NDOGO NDO HUWA MNAONGOZA KUKARIRI MAJENGO NA MITAA,HIVI MTU NA AKILI ZAKE TIMAMU ANASHUPAZA MISHIPA YA SHINGO KULIA LIA KISA JENGO LA TANESCO?? AFU KINGINE MSHUKURU SHEMEJI YAKO KUKULETA MJINI
 
Uongo, umefika Dar lini wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…