julaibibi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2020
- 3,081
- 4,224
system ya kuwaSamahani,naomba unielezee kidogo jinsi utumwa ulivyoanza wakati dunia inaanza
na watu wakawafanyia shughul imekuapo miaka na miaka.ni mfumo tu umekua unabadilika badilika.enzi na enzi kutumiana kuzalisha mali au kazi za nyumban imekuapo.kadiri maendeleo yalivozidi ikaonekana kuna haja ya kupanua wigo wa mahitaji mfano baada ya mahitaji ya rasilimal kuwa makubwa kwa nchi za ulaya makolon yakatafitiwa kwa safar nyingi tu za mabaharia kina vasco da gama na wengineo.
kwa mfano mfrance alipokuwa na mahitaj makubwa ya muwa akahitaji man power ya kutosha ndipo biashara ikachanganya ya kuuza watu, ilumtumikisha mtu eidha unamlipa au humlipi hujaanza leo.ni toka zamaan za kale kwel kweli.aliyefanya kafanya asiyefanya basi