Jengo Maarufu Zanzibar kwa utalii, Beit Al Ajaib laporomoka

dr husein mwinyi kwa ari aliyonayo namfahamu sana hakika muda siyo mrefu litarudi katika hali yake ya awali inshaallah
majengo yale ukarabat wake ni very technically.zamani enzi hizo muarabu mwenyewe alitumia avicenia marina au kiswahili mikoko ndio mana yakaweza kusimama kuwa hali.ile.katika ukarabati technique kutumia iron ingots zile kama mataruma hivi mnalaza na mnakarabati upande mmoja mmoja bila kupiga vitu vizito mana ile mikoko saa nyingine huwa imeoza.majumba kama ya Italy ukarabat wake upo vizuri ukifika st peters au kule kanisa la Dante alighieri katika hadithi yake maarufu dunia nzima journey to the inferno.sehem alipobatizwa sincw 1553 mpka leo pako intact
 
Nasikia mwarabu mwaka juzi alitaka kuleta wakandarasi toka nje waje kulikarabati kisasa, serikali ikagoma, wakasema wapewe wao hela ili walikarabati.

Mwaka jana 2019 waliandikishana mkataba wa makubaliano na nchi ya oman (Nakumbuka kwenye habari alioneshwa Waziri Wa Utamaduni Wa Oman alikuja na bonge la meli la mfalme wao) ya ukarabati wa jengo hilo, waziri wa utamaduni wa oman alivyofika huko zanzibar alisema "ZANZIBAR NI KATI YA NCHI 10 ZILIZOBAKIA TU DUNIANI, KWA KUWA NA URITHI WA KALE WA MAKASRI YA WAFALME (Akiashiria Kasri hilo la maajabu)" hivo wameamua kuikarabati nyumba hio ili iendelee kuwepo.

Mwarabu huyo wa oman akamwaga mabilioni mengi sana ya pesa ili ifanyike hio renovation kuiweka zanzibar katika nchi 10 zilizobakia kuwa na urithi wa kale, ila watu wamekula mshiko.
na mim nilikua najua hivi. sijui kuna kitu gan kilitokea nakumbuka alikuja jamaa mmoja smart sana anapiga kiswahili safi kabisa.
 
Yale mabati waloweka na yale ma pipe ya kupandia yamewekwa kuzuga watoaji hela tu. tangu 2012 hadi leo hakuna lilofanywa. Yaani ZSSF na ufisadi wao wamejenga majumba kwa haraka kuliko SMZ kukarabati lile jumba tangu 2012.
naumia sana kama ni kweli. majumba yale ukarabat wake ukitizama kwa makini ujenzi ulihusisha mikoko sasa wakati wa ukarabat mnapiga jeki floor mnapitisha beam za chuma kureplace mkoko.na yakikaa kama unavyosema yakipugwa na upepo yanapukutika.dah
 
1840 waarabu, 1888 mwingereza... your point being?
Niliamua kukaa kimya, kutokumjibu kwasababu alikuwa na point ya kutaka kutetea kuwa utumwa haukuanzishwa na mwingereza. Wakati biashara ya utumwa haikuanzia east africa. Point yake ni kutaka kumtetea mwingereza east africa.
 
Yale mabati waloweka na yale ma pipe ya kupandia yamewekwa kuzuga watoaji hela tu. tangu 2012 hadi leo hakuna lilofanywa. Yaani ZSSF na ufisadi wao wamejenga majumba kwa haraka kuliko SMZ kukarabati lile jumba tangu 2012.
Nimeskia Rais Mwinyi amemtumbua mkurugenzi wa ZSSF?
 
Tulia uandike tena kwa utulivu,kuna contradictions nyingi sana katika hii comment yako.
Sasa tokea mwaka 18 na ngapi sijui.Acha lianguke. Walikuwa hawafanyi rénovation?Majengo ya mwarabu hakuna uimara.
 
1840 waarabu, 1888 mwingereza... your point being?
Waarabu wameanza kufanya biashara ya utumwa Africa Mashariki kabla huyo Muingereza hajafika.

Kabla hata ya hiyo 1840.

Huyu anayetaka kusema Waingereza ndio walioanzisha biashara ya utumwa Afrika ya Mashariki, ama hajui historia, ama anajaza watu ujinga kwa makusudi.

Uongo wangu ni mdogo sana, aliyeianzisha ndie aliyeipiga marufuku. Eneo lote la Africa Mashariki lilikuwa chini ya Muingereza na Mjerumani, hivyo unataka kusema Mwarabu alikuwa anafanya biashara kwenye eneo lao then wamuachie tu?? Muarabu kazi yake ilikuwa ni kufikisha watumwa sokoni lakini soko lilikuwa linamilikiwa na Waingereza.
Mkuu Emiir, soma historia ya "Zanj Rebellion". Waarabu waliwaleta watumwa kutoka Zanzibar na sehemu nyingine za Afrika Mashariki kufanya kazi za kilimo Basra, Iraq mwaka 869 wakati wa enzi za Abbasid. Walishindwa kupata uhuru wao japo walipigana kwa miaka 15.

Kwa upande mmoja upo sahihi, waiingereza walifanya biashara ya utumwa pia pamoja na raia wa nchi nyingine, lakini kukataa kuwa Waarabu wa Zanzibar/Oman hawajafanya biashara hii si kweli, na itakuchukua dakika moja tu kupata majibu ya wanahistoria mmbalimbali wa nchi tofauti katika Google.

Karne ya nane ndio hio hio iliyowaleta waarabu kufanya biashara mbalimbali Afrika mashariki na kuleta dini ya Kiislam na ngarawa. Kilimo cha karafuu kilikuwa na faida sana na watumwa wengi walitumika Zanzibar katika kilimo hiki. Watumwa walitumika pia kama wanajeshi na wafanyakazi wa nyumbani.

Zaidi ya Zanzibar, kulikuwa na masoko ya watumwa Tanzania Bara na Somalia. Wakaweka hata "agent" wao Yemen ili biashara ipate mteja haraka.

Ndio sababu ya kuwaona Waarabu wenye asili ya Kiafrika Saudi Arabia, Yemem, Oman na nchi nyingine za Kiarabu. Waarabu waliwauza huko, si Waiingereza.

Waiingereza waliwasili Afrika Mashariki kutawala karne ya 19.

Zanzibar ilikataza biashara ya utumwa mwaka 1897 baada ya kutumika presha ya Uiingereza kwa Sultani lakini hawajatumia nguvu sana kukemea utumwa kwa kuwa ulikuwa unawapa faida sana kwa kupata nguvu ya bure ya wafanyakazi katika mashamba yao, kodi na kadhalika.

Soma hapo chini Profesa maarufu akitoa point inayoonyesha kuwa Waarabu walikuwa wa kwanza kufanya hii biashara kabla ya Uiingereza kuichukua na kuifanya Zanzibar "Protectorate" ya Uiingereza.

Fahamu kuwa, sisemi, Waarabu TU, ndio walikuwa wauza watumwa.

The East African Slave Trade

Swahili patricians, the ruling class of coastal society of mixed African-Asian origin in the ports and islands of East Africa, comprising Sultans, chiefs, government officials, ship owners and wealthy merchant houses, used non-Muslim slaves as domestic servants, sailors, coolies and workers on farms and plantations, even in the interior of modern day Tanzania around trading centers such as Tabora, Mwanza on Lake Victoria, and Ujiji and Kigoma on Lake Tanganyika.

Seyyid Said, Sultan of Oman an Zanzibar, and his relatives and associates, became so rich because of his clove plantations in Zanzibar employing slave labor that he moved his capital Muscat in Oman to Zanzibar in 1840; thus he became the first of 12 Omani Sultans of Zanzibar.

Slavery and slave trade within East Africa were well established before the Europeans arrived on the scene.

Export of slaves was mostly to the countries of the Middle East, especially in the Persian Gulf region. African slaves worked as sailors in Persia, pearl divers and laborers on
date plantations in Oman and the Gulf, soldiers in the various armies and workers on the salt pans of Mesopotamia (todays Iraq).

Many Africans were domestic slaves, working in rich households. Many young women were taken as concubines, i.e. sex slaves.

After 1729 when the Portuguese were ousted from the Swahili coast by the Omani fleet, Arab, Iranian and Indian settlement increased in East Africa and the slave trade expanded far into
the interior of East and Central Africa and became more organized.

Source:

SLAVERY AND THE SLAVE TRADE IN EASTERN AFRICA.

Abdulaziz Y. Lodhi (PhD), Professor Emeritus.
Uppsala University, Sweden.
 
Labda ueleze wewe atakusikia au kukuonea haya.

Kwangu mimi kajitia ujinga.
 
From experience, I know some people here love to argue just for the sake of argument. There's an overwhelming evidence in academia to support the argument that Arabs in Zanzibar/Oman traded in slavery profitably. Sultans themselves had slaves as domestic workers and in their clove plantations.
 
badala kushauri ni jinsi gani kunusuru .majengo mmehamia kubishia nan aliuza watumwa nan hhakuuza.utumwa umeanza toka dunia inaanza ni mfumo tu kama mifumo mingine
 
Historia yetu itapotea tukitegemea wafadhili watufanyie kila kitu
 
Back
Top Bottom