Jengo refu zaidi Duniani la Burj Khalifa pale Dubai muda huu limenakshiwa kwa Bendera ya Tanzania mwanzo mpaka mwisho lote. Dunia nzima sasa inatazama maajabu haya kwenye Jengo hilo refu zaidi Duniani huku Utalii wa Taifa letu ukizidi kutangazwa.
Yote hii ni matunda ya ziara ya siku 3 ya Rais Samia Suluhu Hassan Dubai na heshima inayopewa Taifa letu baada ya ziara hiyo iliyokuwa na mafanikio makubwa sana ya Kiuchumi na Uwekezaji.
Hiyo ni pamoja na mafanikio mengine makubwa ya ziara hiyo ambayo ni Kusainiwa kwa Hati 36 za Makubaliano ya Ushirikiano kwenye sekta mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Trilioni 17.1 ambayo itatoa ajira 204,575 kwa Watanzania. Ziara ya Rais Samia Dubai imetulipa kwelikweli. Kazi Iendelee.
Iwe bendera ya Tanzania pekee wakati jengo lipo Dubai? Hata picha za mastaa wakubwa wenye uhusiano mzuri na wa karibu na ufalme wa kule eg. Cristiano Ronaldo wakienda Dubai zinawekwa.

Nilikua naangalia Station moja ya nje muda huu [emoji1256] UAE na Tanzania wana mpango wa makusudi kuwaondoa wamasai ngorongoro ili kubinafsisha hiyo hifadhi. Tuendelee kuomba hali siyo nzuri huko mbeleni.